Serikali yaeleza sababu kusitisha ununuzi mazao ya wakulima
Imesitisha ununuzi kwa muda kwa sababu maghala ya Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) yamejaa.
Imesitisha ununuzi kwa muda kwa sababu maghala ya Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) yamejaa.
Zinakusudia kujenga mtambo wa pamoja cha uchenjuaji wa madini ya nickel na kutumia vituo vya madini vya mkoa wa Kigoma kuuza madini.
Wakati wengine wakifikiria ni kitendo cha upendo wengine wanasema ni kupoteza fedha kununua maua.
Utafiti wa kimasoko ni kitendo kinachodhamiria kufahamu mambo mbalimbali kuhusu soko la bidhaa au huduma na mahitaji ya watumiaji wa bidhaa husika.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwezi Julai 2020 ilikuwa Sh58,362 ikipanda kutoka Sh56,914 iliyorekodiwa Juni mwaka huu.
Visasi, vitimbi vya kukata na shoka na sekunde za kushikilia pumzi yako ni kati ya vitu utakavyovikuta kwenye filamu hii.
Hadi kufikia robo ya pili ya mwaka 2020, watumiaji wa intaneti walikuwa milioni 27.1 kutoka milioni 26.8 robo ya kwanza mwaka huu.
Ni pamoja na wadau wa sherehe na mtu mmoja mmoja ambao huyapata maua hayo kwa gharama inayoanzia Sh1000.
Ni viatu aina ya skechers vilivytengenezwa kwa teknolojia inayoondoa jasho linalosababisha harufu kwenye miguu.
Serikali yasema zoezi la uundwaji wa meli hiyo linatakiwa kukamilika kwa wakati kama mkataba ulivyosainiwa.
Ni baada ya Kenya kuondoa sharti la raia wa Tanzania kukaa karantini kwa siku 14 wanapoingia nchini humo.
Kinachokufanya upate changamoto hizo ni kushindwa kuzingatia mambo muhimu mabayo unatakiwa kuyafahamu kabla ya kupata nyumba ya kupanga.
Mahitaji ya maua hasa ya asili yanazidi kuongezeka, jambo linalotoa fursa kwa wakulima kufaidika na zao hilo ikiwa watawekeza nguvu zao.
Tuzo za mwajiri bora (EYA) ambazo hutolewa kila mwaka tangu mwaka 2005 zimekuwa chachu kwa waajiri Tanzania kuwawekea mazingira bora ya kazi wafanyakazi wake ili kuwawezesha kupata haki zao.
Mradi huo wa megawati 80 ulianza kujengwa mwaka 2017 ulitakiwa kukamilika Februari mwaka huu
Amesema alitoa mchango mkubwa katika tasnia ya sheria na katika nafasi mbalimbali alizotumikia ndani na nje ya Tanzania.
Gunia la kilo 100 la viazi mviringo katika masoko ya mkoa wa Mtwara linauzwa kwa Sh110,000, wakati masoko ya Iringa na Dar es Salaam linauzwa kwa Sh45,000.
Hata kwa baadhi ya malighafi zinazopatikana nchini, bado wabunifu hao wamekuwa wakipendelea kutumia zinazotoka nje ya nchi.
Umuhimu uliowekwa katika ndoa unafanya wanawake wengi wakae katika ndoa ambazo haziwapi furaha.
Ni pamoja na matumizi ya teknolojia ya kamera za kudhibiti mwendokasi wa magari kuwaepusha wanyamapori na ajali za barabarani.