Kiti cha ofisini: Rafiki au adui wa afya yako?
Ukikalia kiti kisicho sahihi unajiletea matatizo ya misuli na mgongo. Kalia kiti kinachoendana na umbile lako na aina ya kazi unayofanya.
Ukikalia kiti kisicho sahihi unajiletea matatizo ya misuli na mgongo. Kalia kiti kinachoendana na umbile lako na aina ya kazi unayofanya.
Wakati mabinti wenzake wanatengeneza mavazi, Enola ni mwana sayansi na mpiganaji.
Ni pamoja na kuwa na nia thabiti pia kuifahamu biashara unayotaka kuifanya.
Zipo fursa za kibiashara ambazo watu wanaweza kuangazia zikiwemo uuzaji wa chakula, huduma za malazi na usafiri.
Kwa mwezi Agosti, mtandao huo umepakuliwa na watu zaidi ya milioni 60 na hivyo kuongoza miongoni mwa programu za simu zisizo za michezo.
HESLB imesema kufikia leo, imepokea na kusajili jumla ya maombi ya wanafunzi 92,947 wanaohitaji mkopo.
Ni baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutabiri vipindi virefu vya ukavu wakati wa mvua za vuli
Baadhi yao wapendekeza Serikali mpya itakayochaguliwa iwasomeshe wanafunzi bure na kuboresha mazingira ya kusomea vyuoni.
Mvua hizo zitakazonyesha kati ya Oktoba na Desemba zitakuwa chache na zinaweza kusababisha ukame na upungufu wa maji.
Uzuri ni kwamba, akaunti yako itabaki kwenye kificho kwa muda wote utakaokuwa umeipumzisha na unaweza kuipata pale utakapoihitaji.
Wakati akiitwa Mkurugenzi leo, Maganga amewahi kufanya kazi za usafi wa vyoo na uwanja, kutunza wazee na kusambaza magazeti.
Baadhi vyaahidi kushughulikia athari za COVID-19 katika sekta ya utalii baada ya kuingia madarakani mwezi Oktoba 2020.
Baadhi ya wanunuzi wamesema kuna muda hata mtu wa uchumi wa kati hawezi kuukwepa mtumba.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Agosti 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.3 kama ilivyokuwa Julai 2020.
Vyama hivyo kikiwemo chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM) vimeeleza katika ilani zao na baadhi ya mikutano ya kampeni namna vitakavyoboresha mazingira ya upatikanaji wa kodi usiowaumiza wananchi.
Bei ya juu ya gunia la kilo 100 la zao hilo linauzwa kwa Sh220,000 katika soko la Majengo jijini humo ikiwa imepanda kutoka Sh165,000 iliyorekodiwa Jumatatu Agosti 31, 2020.
Ni pamoja na kula chakula ora, kufanya mazoezi na kunywa maji ya kutosha.
Uchambuzi wa ilani tatu za vyama vya CCM (Chama Cha Mapinduzi), Chadema (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo) na ACT-Wazalendo (Alliance for Change and Transparency) za mwaka 2020-2025 kuhusu uchumi huo na namna zitakavyoujenga ili ulete manufaa kwa wananchi
Ni Alain Cocq anayeugua ugonjwa usio na tiba nchini humo ambaye alitangaza uamuzi huo Jumamosi baada ya kuanza kukataa chakula na kumeza dawa.
Mmiliki wa nembo ana haki ya kuitumia nembo yake kwa uhuru bila vikwazo kwa kuzingatia matakwa ya kisheria.