Yatakayokupata usipodhibiti minyoo inayoshambulia mwili wako
Hudhoofisha afya ya binadamu na kumfanya ashambuliwe kirahisi na magonjwa.
Hudhoofisha afya ya binadamu na kumfanya ashambuliwe kirahisi na magonjwa.
Inahusu ndugu wawili waliopotezana utotoni baada ya wazazi kuuliwa kikatili.
Mambo hayo ni pamoja na kumfundisha michezo na stadi za kazii, kunoa kipaji chake na kumsikiliza kujua anataka nini.
Binti huyo ni miongoni mwa vijana wa Tanzania ambao wameamua kupambana na changamoto za ajira kwa kubuni huduma ya manunuzi ya bidhaa kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na mikoani.
Ni pamoja na kusoma na kuhifadhi meseji kwa matumizi ya baadaye.
Mazingira yasiyoridhisha ya kazi ni moja ya sababu zinazochangia hali hiyo huku Serikali ikisema itaendelea kuongeza idadi ya walimu ili kukidhi mahitaji.
Ni fedha walizouza kahawa kwa vyama vya ushirika mkoani humo.
Diamond Platnumz aongoza kwa kuwa na wafuasi wengi pamoja na watazamaji wengi zaidi huku Harmonize akiwakimbiza wote kwa kuwa na maudhui mengi YouTube.
Wageni wanaotoka nje ya Afrika Mashariki kulipa zaidi ya wazawa.
Uamuzi huo unafuatia maoni, ushauri na maombi kutoka kwa wanafunzi, wazazi na walezi ambayo HESLB imeyapokea.
Mbali na mwili kuchoka, uzee huja na changamoto zingine zikiwepo kukosa usingizi na maungio kukosa uimara.
Idadi ya wanawake wanaochaguliwa katika nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge bado iko chini. Mila potofu, mfumo dume na umaskini wa kipato wachangia kuwadidimiza.
Wadau wa usalama barabarani wapendekeza maboresho ya sheria yatakayosaidia kupunguza zaidi vifo na majeruhi.
Usajili wa nembo yako ya biashara unasaidia kuilinda nembo hiyo kisheria kuliko kuendesha mambo yako kienyeji.
Ufaulu wa wasichana umekuwa bora kuliko wa wavulana kwa takriban asilimia moja
Shule ya Sekondari ya Kisimiri imeendelea kuongoza orodha hiyo ya dhahabu Tanzania huku Arusha ikiingiza shule tatu kwenye 10 bora.
Ufaulu waongezeka kidogo kwa asilimia 0.03
Bidhaa hizo hutumika kuwadhibiti tembo wasivamie na kuharibu mazao ya wakulima yaliyopo shambani.
Katika baadhi ya maeneo, tembo wanavamia na kuharibu mazao ya wakulima na mashine za kusagia nafaka.
Mwalimu huyo mwenye miaka 31 anasema walipofika ni mwanzo tu wa safari yao ya kusaka mafanikio.