Hakuna kulala wahitimu kidato cha sita mwaka 2020
Wanatakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yatakayoanza Agosti 1 mwaka huu.
Wanatakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yatakayoanza Agosti 1 mwaka huu.
Kozi zitakazopewa kipaumbele zaidi ni pamoja na ualimu wa sayansi, programu za uhandisi na sayansi ya afya.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu iliyotolewa leo imeeleza kuwa licha ya uteuzi huo, Dk Kijazi ataendelea kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Tanapa.
Ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Nyamagana jijini Mwanza ambaye bado hajaonekana darasani baada ya shule kufunguliwa Tanzania.
Kasi ya kupanda miti imekuwa ndogo kutokana na changamoto ya janga la Corona ambayo imesimamisha shughuli nyingi za kijamii duniani.
Ni baada ya kupiga marufuku ya kampuni za mawasiliano nchini humo ili kuimarisha usalama wa nchi na kulinda uchumi.
Ni vya kuchakata chai vya Chivanjee na Musekera vilivyopo wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya ambavyo vimefungwa kwa sababu ya uharibifu wa miundombinu na kushindwa kujiendesha.
Wamekuwa wakinyanyapaliwa kwa kudaiwa kuwa waeneza virusi vya ugonjwa wa Corona, jambo ambalo ni kinyume na hali halisi.
Yazitaka nchi zingine za jumuiya hiyo kuongeza kasi ya maendeleo ili zifikie uchumi wa kati kama Tanzania.
Nilisahau kukuambia kuwa kwa kipindi hicho chote ambacho nilikuwa nauza juisi nilikuwa najitolea katika kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa huku nikiitegemea familia yangu kuniwezesha kiuchumi.
Ni baada ya kutumia picha za watu bila ridhaa zao katika shughuli za matengenezo ya teknolojia ya utambuzi wa sura (facial recognition).
Ukweli ni kuwa wagonjwa wa Ukimwi wanaweza kupata changamoto ya matibabu wakati huu wa janga la Corona.
Imewahakikishia wakulima kuwa itaendelea kununua mazao yao kwa ajili ya kuongeza hifadhi ya chakula nchini.
Kifaa hicho kwa mujibu wa wataalamu walioongea na Nukta ni daraja kati ya umeme na vifaa vya kielektroniki na umeme vinavyotumia kwa shughuli mbalimbali.
Ni mkoa wa Songwe ambao takriban shule saba kati ya 10 za mkoa huo hazina huduma ya maji.
WHO imesema wafanyakazi wanaosafirisha na kusambaza vyakula kwa wateja wao wanatakiwa kuzingatia tahadhari ya usafi kwa sababu wanakutana na watu tofauti.
Wakati maelfu ya wanyama hao wakizidi kuuliwa kila mwaka, uwezekano wa wanyama hao kuendelea kuwepo mbugani ni mdogo endapo hatua za kuwalinda hazitochukuliwa.
Inafanya mabadiliko ya sera yake kuzuia matangazo ya programu zinazofuatilia watu mtandaoni bila ridhaa yao.
Kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka mara kwa mara na kutumia vitakasa mikono inaweza kukusaidia kujikinga na ugonjwa huo.
Ni mtindo mbovu wa maisha ambao humaanisha afya dhoofu na zilizo wazi kushambuliwa na magonjwa ikiwemo kukosa mazoezi, mapumziko, kutokunywa maji ya kutosha na ulaji mbaya wa vyakula.