Usidanganywe! Apple haigawi simu za iPhone bure
Kampuni hiyo ya Marekani imezushiwa kuwa inagawa bure simu aina ya iPhone kwa wanafunzi na wafanyakazi wakati huu wa ugonjwa wa Corona, siyo kweli.
Kampuni hiyo ya Marekani imezushiwa kuwa inagawa bure simu aina ya iPhone kwa wanafunzi na wafanyakazi wakati huu wa ugonjwa wa Corona, siyo kweli.
Inamuhusu mwanadada Wesley ambaye anaanza safari ya kumtafuta mwenzi wake wa maisha lakini safari hiyo inaishia katika majuto.
Baadhi ya kampuni za simu ikiwemo Samsung na Apple zimeanza mipango ya kuanza kuuza simu zake bila kuambatanisha chaja na earphones.
Wataalamu wameshauri kutokutumia vitu vya ncha kali kusafisha sikio kwani inaweza kumsababishia mtu matatizo ya usikivu.
Shirika la Afya Duniani limesema fursa zote za ajira hutolewa na tovuti yake ya who.int na si vinginevyo.
Ni wakulima 7,500 wa mikoa mitatu ya Mbeya, Songwe na Katavi ambao watawezeshwa kulima kwa kisasa mazao ya mboga mbaga na matunda ili kupata masoko ya uhakika.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hadi sasa hakuna utafiti unaoonyesha kuwa maziwa kutoka kwa mama mwenye COVID-19 yanaweza kumuambukiza mtoto pale anaponyonya maziwa hayo.
Ni ngumu kuamini lakini kijana ambaye sina historia ya kufanya biashara niliweza kuitumia pesa hiyo kwa kujiongezea kipato.
Simu hiyo, iliyozinduliwa Aprili, 2020, inatumia mfumo endeshi wa kizazi cha 10 cha Android 10 na OxygenOS 10
Mkoa wa Iringa viazi mviringo vinauzwa kwa Sh50,000 kama bei ya juu zaidi na ya chini zaidi huku mkoani Mtwara gunia kama hilo likiuzwa kwa Sh120,000
Magufuli ameagiza kung’olewa kwa viongozi hao baada ya shehena za bangi kukamatwa na vyombo vya usalama vya nje ya wilaya hiyo.
Mtumiaji ili aweze kuitumia InVID atatakiwa kupakua kwanza kiunganishi cha InVID (InVID plugin).
Ujumbe huo unaosema watu wachague herufi ya kwanza ya jina ili mtu ajue atapata msaada wa pesa kiasi gani umetumika sehemu nyingi ulimwenguni.
Kuna mambo mengi wapaswa kuyafahamu kabla ya kusaini mkataba wa kuanzisha biashara ya ushirika yakiwemo umiliki wa mali na namna ya kuvunja ushirika husika.
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amefunga kituo cha 74 kilichokuwepo hospitali ya Lulanzi mjini Kibaha kati ya 85 vilivyokuwepo nchini.
Filamu hiyo itakuelezea kisa cha wanamuziki wawili waliopigania ndoto zao licha ya kudhihakiwa na jamii yao.
App hizo zilikuwa zimepakuliwa na watumiaji zaidi ya 250,000 na zilikuwa zikifanya kazi yake kama kawaida licha ya kuwa na ajenda ya siri wakati zikifanya kazi.
Idadi ya vifo iliongezeka kwa takribani mara mbili mwezi Juni huku asilimia 70 ya vifo vya wanyama vikidaiwa kutokea karibu na vyanzo vya maji.
Bei mpya za rejareja za nishati hiyo kwa Julai zimeongezeka ikilinganishwa na Juni kutokana na mabadiliko katika soko la dunia na gharama za usafirishaji.
Mkopo huo utasaidia kutekeleza miradi mitatu ikiwemo ya maji katika mji wa Morogoro na usambazaji wa umeme vijijini katika mikoa 16.