Mfuko wa bei washuka kwa mara ya tatu mfululizo Tanzania
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.2 kwa mwaka ulioishia Mei 2020 kutoka asilimia 3.3 iliyorekodiwa Aprili mwaka huu.
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.2 kwa mwaka ulioishia Mei 2020 kutoka asilimia 3.3 iliyorekodiwa Aprili mwaka huu.
Simu hiyo iliyo na kamera yenye uwezo wa megagapikseli (MP) 13 imeambatana na kamera yenye intelijensia undwa (AI) inayotofautisha kilichopo mbele ya kamera na vile vilivyopo nyuma.
Shirika hilo limesema hakuna taarifa wala ushahidi kuthibitisha dhana hiyo
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga asema wataliachia soko liweze kuamua bei na Serikali kubaki kuwa msimamizi.
Hii ndiyo bajeti ya mwisho ya kipindi cha kwanza cha uongozi wa Rais John Magufuli na inawasilishwa kipindi Tanzania inakabiriwa na athari za corona.
Hatua hiyo itaokoa Sh67 bilioni ambazo zimekuwa zikitumika kubadilisha na kununua nguzo za miti kila mwaka.
Ni za uharibifu wa miundombinu ya umeme ambazo zinafanywa na watu wenye nia ovu.
Zingatia sheria na kodi zinazosimamia aina hiyo ya biashara ili kuhakikisha haingii katika migogoro ya kisheria.
Hatua hiyo huenda ikasaidia kuongezeka idadi ya wageni hasa wa utalii wa kimataifa kutembelea vivutio mbalimbali na kuwaunganisha Watanzania na shughuli za kimataifa.
Walimu wahakikishiwa kuendelea kulipwa mishahara yao hata kama corona itakaa miaka 10.
Mfuko huo wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo (FAO) umetengewa dola za Marekani 174 milioni (Sh402.6 bilioni) kwa ajili ya miradi 24 ya kilimo na mazingira katika nchi 30 duniani.
Nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa yupo mwanamke na kwa Bricke mwanamke huyo ni Anna Brewster anayependa fedha zinazomhusu ziwe na sifuri nyingi mwishoni.
Safari za treni ya mizigo na abiria kati ya jiji la Dar es Salaam na mkoa wa Kilimanjaro zitarejea baada ya kusitishwa kwa usafiri huo kwa muda kutokana na mafuriko.
Habari hiyo siyo ya kweli kwani imetumia picha za Rais wa zamani wa nchi hiyo Barrack Obama alipokuwa kwenye maandamono mwaka 2015.
Sababu kuu ya maelekezo hayo ni kwa ajili kuwalinda watumiaji wa vituo hivyo dhidi ya hatari inayoweza kutokea ikiwemo mlipuko wa mafuta ambayo ni rahisi kushika moto.
Hatua hiyo ya Zoom inakuja baada ya kuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ukatili wa kijinsia na watoto unaofanyika katika mtandao huo na hivyo kuleta ugumu kwa mamlaka na vyombo vya dola kufuatilia uhalifu huo.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi yatakiwa kuwakamata watumishi watatu wa halmashauri hiyo kwa kula Sh27.6 milioni za makusanyo na kujikopesha bila ya kuziwasilisha benki.
Taarifa kuwa polisi wameonya uwepo wa wahalifu wanaotapeli kwa barakoa zenye kemikali ni uzushi.
Yavitaka vyuo ambavyo haviwapa wanafunzi wao fedha za kujikimu kufanya hivyo kabla ya Ijumaa Juni 5.
Fursa hiyo ya Covid-19 Africa Grant Fund itatoa ruzuku ya Sh10.9 bilioni katika nchi 17 za Afrika ikiwemo Tanzania ambapo wahusika wanatakiwa kuzitumia kuleta suluhisho la ugonjwa huo barani Africa.