July 5, 2024

Mwongozo mpya wa upimaji wa Corona huu hapa

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limeboresha mwongozo wake kuhusu upimaji wa ugonjwa wa virusi vya COVID-19 ili kupanua wigo wa upimaji katika mazingira mbalimbali ya virusi hivyo katika nchi tofauti duniani.

Tanzania ina wagonjwa wa Corona zaidi ya 100, kuagiza chanjo

Hatimaye, Serikali ya Tanzania imetoa tena hadharani takwimu za wagonjwa Corona tangu ilipositisha Mei mwaka jana huku Rais Samia Suluhu Hassan akisema tayari wameridhia kuagiza chanjo ambayo itakuwa inatolewa kwa hiari kwa wananchi kujikinga na ugonjwa hu