Picha ya mwaka 2018 inavyotumika kutoa ‘tiba’ feki ya covid -19
Picha hiyo imetoa yanayodai kuwa ni maelekezo ya namna ya kujitibu vidonda hivyo ili kuepuka madhara zaidi.
Picha hiyo imetoa yanayodai kuwa ni maelekezo ya namna ya kujitibu vidonda hivyo ili kuepuka madhara zaidi.
Huenda baadhi ya miradi ya maendeo iliyopangwa kutekelezwa na Wizara ya Nishati katika mwaka wa fedha wa 2019/2020 isikamilike kwa wakati baada ya Serikali kuchelewa kutoa fedha zilizoidhinishwa mwaka huo.
Wakazi wa Mkoa wa Lindi leo Mei 8, 2020 wananunua gunia la kilo 100 la viazi mviringo takriban mara tatu ya wenzao wa Mkoa wa Rukwa, jambo linalowafaidisha zaidi wafanyabiashara na wakulima wa zao hilo.
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma nchini Tanzania imeshuka hadi kufikia asilimia 3.3 kwa mwaka ulioishia Aprili 2020 kutoka asilimia 3.4 iliyorekodiwa Machi mwaka huu,
“Sijawahi kufikiria kama ninahitaji mtu mwingine kwenye maisha yangu,” ni maneno ya Chu.
Ni kupitia michezo ya mtandaoni inayoadhimisha sherehe na matukio muhimu duniani, jambo linalowafanya watu wafurahie wakati wakitumia programu za kampuni hiyo.
kama hali itatulia hadi mwezi Oktoba 2020 idadi ya watalii wanaokuja nchini itashuka kutoka milioni 1.8 waliotarajiwa mwaka huu hadi kufikia watalii 437,000.
Tatizo la kasi ya intaneti yako linasababishwa na vitu vingi vikiwemo kuweka router sehemu ambayo siyo rafiki na kuzuia kifaa chako kufikia kasi yake ya intaneti.
Ndege hiyo inatarajia kutua jijini humo wiki ijayo Mei 11, 2020 na kuanza safari ya kurudi Tanzania siku inayofuata ikiwa na Watanzania hao.
Zimechaguliwa kuingia katika awamu ya kwanza ya programu ya kampuni ya Vodacom Tanzania ya kidijitali ili kuwajengea uwezo kujiendesha kibiashara na kuwafikia watu wengi.
watu wengi wanashindwa kununua blender kwaajili yamatumizi yao. wengi, wananunua ilimradi inawaka na inasaga juisi.
Vyandarua 719,254 vinatarajiwa kugawiwa kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa malaria nchini Tanzania.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inakusudia kutumia bajeti ya Sh2.14 trilioni katika mwaka wa fedha 2020/21 ikiongezeka kutoka Sh1.85 trilioni iliyopitishwa mwaka 2019/20.
Ujenzi wa sanamu hiyo unaoratibiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, tayari upo kwenye hatua za awali na unatarajiwa kukamilika mwezi Oktoba 2020.
Mtandao wa Facebook umetangaza ratiba ya mafunzo maalum kwa viongozi wa makundi ya mtandao huo yatakayowasaidia kuongoza vema jamii za watu katika makundi yao na kuongeza wigo wa kupambana na habari za uzushi
Virusi vya ugonjwa wa corona (COVID-19) haviwezi kusambaa kupitia mawimbi ya redio au mfumo wowote wa mawasiliano ya simu.
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amesema hadi kufikia mwezi Machi 2020 wizara yake haikupata fedha zozote kwa ajili ya shughuli za maendeleo zilizotengwa katika bajeti ya mwaka huu wa fedha wa 2019/2020.
Ahueni hiyo inakuja baada ya EWURA kueleza kushuka kwa bei za nishati hiyo kwa bei za rejareja na jumla kuanzia kesho (Mei 6, 2020) kwa mafuta yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam.
Ni picha inayomuonyesha mwanaume aliyeungua mgongo kwa kile kinachodaiwa ni madhara ya kujifukiza lakini picha hiyo ni uzushi na uongo kwa sababu ni tukio lilitokea Kenya.
Ikitokea hali hiyo imekukuta, huna haja ya kuhofia kuhusu uharibifu wa gari yako. Fanya haya kuliokoa gari lako ikitokea umeweka mafuta yasiyohitajika.