Acha masihara, corona ipo: Chukua tahadhari
Kupitia maombi yetu ya kila siku kwa Mwenyezi Mungu aliye mponyaji wa kweli, naamini tutaweza kuishinda corona mpaka jamii duniani ishangae kulikoni Tanzania
Kupitia maombi yetu ya kila siku kwa Mwenyezi Mungu aliye mponyaji wa kweli, naamini tutaweza kuishinda corona mpaka jamii duniani ishangae kulikoni Tanzania
Mmoja aliyesaka ajira bila mafanikio aweka kibindoni Sh4 milioni kwa miezi minne
Hakikisha mhudumu na mteja mmevaa barakoa.
Saluni zisijaze wateja kupindukia, mteja mmoja au wawili tu kwa wakati mmoja.
Imeongeza kipengele cha “Messenger Rooms” (vyumba katika programu ya Messenger) ambavyo ni makundi yanaruhusu watu kupigiana simu za video na kuonana mubashara hata kama wako mbali.
Ni filamu inayomhusu binti mdogo ambaye baba yake ana ulemavu wa akili. Kilele cha filamu hii ni hukumu ya kunyongwa inapotolewa kwa baba huyo kwa kusingiziwa kuua mtoto wa kamanda.
Kilele cha filamu hii ni hukumu ya kunyongwa inapotolewa kwa baba huyo kwa
Chanzo cha maumivu ya mgongo ni uwiano usiofaa wa misuli ya mwili ambao husababishwa na aina za kazi zinazofanywa, ukaaji mbaya, ubebaji mbaya wa vitu au ulegevu.
Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 imeshuka kwa asilimia 2.4 hadi kufikia Sh899.2 bilioni, ikishuka kwa mara ya pili mfululizo tangu ilivyoanza mwaka 2019/20.
Marufuku ya mikusanyiko imeleta athari nyingi hasa kwa wanamuziki ambao walikuwa wakitumbuiza katika maeneo mbalimbali na kujipatia kipato kwa ajili ya maisha yao.
Muendelezo wa maajabu ya kampuni hiyo unaendelea baada ya kuitangaza simu yake mpya ya Motorola Edge Plus ambayo inajitambulisha kama simu yenye kasi ya 5G inayopiga kikumbo simu zingine zote zenye kutumia teknolojia hiyo.
iphone SE ni simu itakayompatia mtumiaji wa simu za iPhone sababu zote za kuhamia kwenye simu hiyo huku ikivimba kifua kwa kusema ni simu ambayo kila mtu amekuwa akiisubiria.
Bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2021/2021 imeongezeka hadi Sh40.2 bilioni kutoka Sh30.8 bilioni mwaka huu.
Benki ya Dunia imetoa mapendekezo mbalimbali yatakayosaidia kuokoa ajira na mapato katika sekta ya utalii kwa nchi mbalimbali duniani ikiwemoTanzania kwa kuongeza ubunifu na kuwekeza katika utalii wa kidijitali wakati wa mlipuko wa janga la Corona.
Rais John Magufuli amesema licha ya jiji la Dar es Salaam kuwa na kiwango cha juu cha wagonjwa wa virusi vya Corona halitafungwa kwa sababu ni kitovu cha uchumi wa Tanzania
Gunia la kilo 100 la viazi mviringo katika masoko ya Mtwara linauzwa kwa Sh120,000, wakati masoko ya Rukwa linauzwa kwa Sh45,000.
Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeunda kamati maalum ya vigogo 14 itakayokuwa inatoa ushauri kuhusu hatua muhimu za kuchukua kuendeleza biashara dhidi ya athari za ugonjwa virusi vya Corona
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wafanyabiashara wanaopandisha bei ya sukari akieleza kuwa hakuna upungufu wa bidhaa hiyo nchini Tanzania.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi jana 21 Aprili 2020 Tanzania kulikuwa na watu 284 waliothibitika kuwa na virusi vya corona
Uteuzi huo umemaweka watumishi watatu kwenye nafasi mpya seerikalini.
Apple katika taarifa yake iliyotolewa leo (Aprili 21,2020) imetaja nchi 17 za Afrika ambazo zimeongezwa kwenye orodha yake ya huduma hiyo ikiwemo Tanzania.
Hakukuwa na kitu kilichokuwa sehemu yake, licha ya kabati la nguo kuwepo, stendi ya viatu na hata kikapu cha nguo chafu.