Zanzibar yaripoti kifo cha kwanza cha corona, wagonjwa wakiongezeka
Mgonjwa huyo alikuwa mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 nyumbani na kuzikwa siku hiyo hiyo.
Mgonjwa huyo alikuwa mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 nyumbani na kuzikwa siku hiyo hiyo.
Rais John Magufuli asitisha maadhimisho ya Sherehe za Muungano na Mei Mosi kujikinga na corona
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa (WHO), linakusudia kuchapisha mwongozo wenye taarifa za kuwezesha nchi kuchukua hatua za kupunguza kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19)
Wamebuni mashine ya kunawia mikono inafunguliwa kwa kutumia miguu na hautumii nguvu nyingi.
Ubunifu huo umedhamiria kuepusha maambukizi ya Corona kutokana na kufunga na kufungua koki ya bomba.
Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania imetakiwa kuzingatia bajeti na kanuni za manunuzi baada ya kubaini ilifanya malipo ya takriban Sh1 bilioni kwa mzabuni bila kupata huduma inayohitajika.
Wagonjwa wote watatu wapya ni vijana, Watanzania na hawana historia ya kusafiri nje ya nchi siku za hivi karibuni.
Wagonjwa wengine 14 watangazwa leo na kufanya idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo kufikia 46.
Huenda elimu ya juu nchini Tanzania ikachukua mkondo mpya, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere kubaini kuwa udahili wa wanafunzi wanaosoma shahada za uzamili katika baadhi ya vyuo vikuu vya umma unashuka kila mwaka
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya wawili wa virusi vya Corona (#COVID19) na kufanya visiwa hivyo kuwa na wagonjwa tisa mpaka sasa.
ripoti yake imebaini kuwa taasisi hizo zimeshindwa kufuatilia ufanisi wa elimu waliyoitoa kwa wahitimu wake waliopo kazini.
Kitabu hicho kipya kitasaidia watoto kuelewa na kufahamu kwa kina ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kitakachowasaidia kujikinga na janga hilo la dunia.
Huenda Watanzania waliopata namba za utambulisho wa Taifa (NIN) wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kupata vitambulisho vya Taifa baada ya ripoti ya CAG kubaini kasi ndogo ya uchapishaji inayochagizwa na changamoto za mfumo na vitendea kazi.
Huenda viti vya enzi vya wadau hao wa usafiri vikaota miba baada ya mdau mwingine kuingia kwenye tasnia hiyo ya usafiri.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini upungufu wa watumishi 9,691 katika taasisi za Serikali zikiwemo wizara tano, jambo linaathiri ufanisi wa kazi na kuwachosha watumishi wachache waliopo katika taasisi hizo.
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia Machi 2020 kutoka asilimia 3.7 iliyorekodiwa Februari mwaka huu, ikichagizwa na kupungua kwa gharama za bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Mgonjwa mwingine mmoja wa virusi vya Corona (Covid-19) amegundulika leo jijini Dar es Salaam na kuongeza idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo Tanzania hadi 25 tangu ulipoingia nchini katikati ya Machi 2020.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums Maxence Melo kulipa faini ya Sh3 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuzuia polisi kufanya upelelezi wao.
Ubalozi wa Tanzania nchini China umewataka wanafunzi wanaosoma katika jiji la Wuhan nchini humo kuwasiliana na vyuo vyao na kufuatilia taratibu za kupata visa kabla ya kupanga safari ya kurudi nyumbani Tanzania.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini taasisi tisa za Serikali ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria zilifanya jumla ya malipo ya Sh719.5 milioni bila kuidhinishwa na watu waliopewa mamlaka, jambo linaloweza kuwa chanz
Tamasha hilo ambalo hadi sasa limekusanya kitita cha Sh81 bilioni litahusisha wasanii wengine wakongwe wakiwemo Elton Johnn, Billie Eilish, Burna Boy, Johnn Legend na wengineo wengi wakiwemo Andrea Bocelli na Stevie Wonder.