Kicheko walaji wa chipsi Njombe, bei ya viazi mviringo ikishuka
Bei ya chini ya gunia la kilo 100 la viazi mviringo inayotumika leo imeshuka kwa Sh10,000 kutoka Sh45,000 iliyotumika jumatano katika soko la Mwanjela jijini Mbeya.
Bei ya chini ya gunia la kilo 100 la viazi mviringo inayotumika leo imeshuka kwa Sh10,000 kutoka Sh45,000 iliyotumika jumatano katika soko la Mwanjela jijini Mbeya.
Wakati kina baba wakihitaji kuonyesha uwezo wao, msaada wa kutunza fedha, na moyo pale wanapokata tamaa, haya ndiyo wanaume wanashauriwa kuyafanya ili malengo ya wapenzi wao yatimie.
Wakati “Ip Man” ikikufundisha umuhimu wa kufikiria kabla ya kutenda jambo, “Onward” itawafundisha watoto jinsi ya kujiamini na umuhimu wake.
Wateja wa rejareja wataokoa Sh22 kwa petroli, Sh42 kwa dizeli na Sh2 kwa mafuta ya taa kwa kila lita moja watakayonunua ikilinganishwa na bei ya mwezi uliopita.
Ni Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange pamoja na maafisa wengine wawili kwa sababu wameshindwa kuwasilisha mapato serikalini ya kituo cha mabasi cha Korogwe.
Magari hayo yananunuliwa kwa wingi kwa sababu wananunuzi wanahimili gharama zake, urahisi wa upatikanaji wa spea, na matumizi mazuri ya mafuta.
Amemteua Gerald Kusaya aliyekuwa Mwenyekiti wa timu iliyoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuchunguza masuala mbalimbali katika tasnia ya zao la mkonge mkoa wa Tanga.
Ni Christina Mwanga mkazi wa kijiji cha Olevolos kilichopo kata ya Kimnyaki nje kidogo ya jiji la Arusha, Tanzania ambaye anatumia nishati ya biogesi (Biogas) kwa ajili ya kupikia.
Bei ya maharage ya gunia la kilo 100 inauzwa Sh260,000 katika soko la Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa imeshuka kutoka Sh280,000 iliyorekodiwa juzi jijini humo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku shughuli zisizohusiana na taaluma ikiwemo ujenzi wa viwanda katika maeneo ya shule ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuwa katika mazingira tulivu ya kujifunzia.
Uchambuzi programu ya Google Trends kuhusu kufuatiliwa kwa wasanii hao Youtube, mtanange baina yao sio haba licha ya kuwa Harmonize anaongoza kwa muda mrefu ikilinganishwa na wenzake.
Hali yao inawalazimu kusoma masomo ya sanaa hivyo ndoto zao kuishia angani.
Asema jengo la kituo cha pamoja cha huduma ya forodha katika mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Horohoro mkoa wa Tanga limejengwa chini ya kiwango.
Yasema baadhi ya matangazo hayo siyo ya kweli yanalenga kuwanufaisha wahalifu kibiashara.
Thamani ya mauzo ya wiki nzima imeshuka kwa takriban asilimia tatu hadi Sh18.7 bilioni kutoka Sh19.3 milioni iliyorekodiwa juma lililopita.
Unaweza kufanya hivyo kwa kumkumbusha kuweka akiba na hata kwa kumuonyesha vipaji vyake asivyoviona.
Kwa kumsaidia yeye, itakupatia amani pale utakapoona amefanikiwa huku ukiwa na mchango kwenye mafanikio yake.
Ufahari huu wa mwanamke utaonekana tu iwapo wanaomzunguka watauangalia katika mtazamo chanya.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa Florens Luoga ameeleza sababu mbalimbali za benki hiyo kuchelewa kuanza kununua dhahabu kama sehemu ya hifadhi zake (gold reserve) ikiwemo kutokuwepo kwa viwanda vya kuongeza thamani madini hayo nchini.
Takwimu za bei za mazao makuu ya chakula zinazotumika katika maeneo mbalimbali nchini zilizotolewa leo (Februari 28, 2020) na Wizara ya Viwanda na Biashara zinaeleza kuwa gunia la kilo 100 katika soko la Kinondoni jijini humo linauzwa kwa Sh280,000 kutoka
Inaelezea jinsi wanyonge wanavyotaabika kwa kukosa wawakilishi bora mahakamani.