Ushindani biashara ya chakula mtandaoni wazidi kuibua fursa lukuki Tanzania
Baada ya Jumia Food kufungasha vilago Tanzania, zaidi ya kampuni nne zainyakua fursa ya biashara hiyo mtandaoni
Baada ya Jumia Food kufungasha vilago Tanzania, zaidi ya kampuni nne zainyakua fursa ya biashara hiyo mtandaoni
Vijana waliowekeza na wanaotaka kuwekeza katika ufugaji wa samaki Tanzania wametakiwa kuchukua tahadhari na kutumia vizuri ujio wa mvua za masika kuongeza uzalishaji utakaowasaidia kuongeza fursa za ajira na kipato cha kuendesha maisha yao.
Kumbukizi hiyo ni kupitia maadhimisho ya miaka 113 ya mashujaa wa vita vya Maji Maji yatakayofanyika kati ya Februari 22 hadi 27, 2020.
Licha ya kuongezeka kwa changamoto za kifedha zinazoendelea kuvikabili vyombo mbalimbali vya habari duniani, idadi ya vituo vya redio Tanzania imezidi kuongezeka kwa kasi baada ya vituo 25 kuanzishwa ndani ya mwaka mmoja.
Takwimu zinaonyesha kuwa hadi kufikia Desemba 2019 watumiaji wa huduma za posta walikuwa 346,684 kutoka 353,742 wa mwaka juzi.
Asema kama Mkuu wa Mkoa huyo wa Dar es Salaam alichukua fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wakati siyo masikini arudishe hizo fedha.
Idadi ya watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi inazidi kupaa nchini Tanzania baada ya takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kubainisha ongezeko la watumiaji milioni 2.5 ndani ya mwaka mmoja.
Tangu mwaka 2014, idadi ya watumiaji wa ving’amuzi imekuwa ukiongezeka kila mwaka hadi kufikia mwaka 2018 kabla haijapungua hadi milioni 2.68 mwaka uliofuata.
Mikopo kwa sekta binafsi imeongezeka kwa asilimia 11.1 katika mwaka ulioishia Desemba 2019 ikilinganishwa na asilimia 4.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Imesema haina mpango wa kuwaondoa ama kuwasafirisha wanafunzi hao walioko mji wa Wuhan kwa kuwa wako katika uangalizi maalum (quarantine) nchini humo
Siyo ukweli, una haki ya kufahamu tiba unayopatiwa na daktari na sababu zake, lakini katika kufanya hivi hauna budi kutumia kauli nzuri ili kuepusha malumbano.
Watumiaji wa intaneti Tanzania wameongezeka kwa asilimia 11.5 hadi kufikia milioni 25.8 mwaka 2019 kutoka milioni 23.1 waliorekodiwa mwaka 2018, jambo linalofungua milango kwa Watanzania kufaidika na fursa za mtandaoni ikiwemo kufanya biashara na kupata uj
Huenda wasafari wanaokwenda katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania wasilazimike tena kwenda kwenye ofisi za mabasi kukata tiketi,baada ya Chama Cha Wamiliki wa Mabasi (Taboa) kutangaza tenda ya kwa ajili ya kutengeza mfumo wa ukataji tiketi wa kielektron
Mito hiyo inatumika kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo uvuvi na kilimo lakini inatumiwa kama mipaka inayotenganisha Tanzania na nchi zingine.
Kama wewe ni mmoja kati ya watu wanaopata shida hiyo, hizi ni baadhi ya zawadi ambazo wanawake wengi wanazifurahia. Funga mkanda kisha anza safari hii fupi pamoja nami.
Baada ya Slim kumuua polisi huyo kwa bastola, taarifa za wawili hao zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakiwabatiza jina la wauwaji wa polisi.
Serikali ya Tanzania imesema inamuhoji mkazi wa mkoa wa Arusha, Mosses Mollel anayejiita Nabii namba saba ili athibitishe madai yake kuwa ana uwezo wa kutibu virusi vya ugonjwa wa #Corona ambavyo mpaka sasa vimeua watu zaidi ya 1,300 ulimwenguni.
Wakati Dar es Salaam ikiongoza orodha hiyo, mikoa ya Katavi, Kigoma, Lindi, Rukwa, Ruvuma, na Simiyu haikusajili mradi wowote mwaka 2018.
Imewataka wananchi kujiandaa na kutumia vema mvua za msimu za masika zinazotarajia kuanza hivi karibuni huku ikitahadharisha kutokea kwa vipindi vifupi vya upepo mkali katika pwani ya bahari ya Hindi na kuathiri shughuli za uvuvi na utalii.
Itaendelea kuenzi mchango na kazi nzuri inayofanywa na vituo vya redio nchini