Unayoweza kumfundisha mtoto kutumia vizuri fedha
Mfundishe kuweka akiba, mpe kazi ambayo utamlipa kiasi fulani cha pesa na wakati mwingine mkopeshe fedha ili baadaye akulipe.
Mfundishe kuweka akiba, mpe kazi ambayo utamlipa kiasi fulani cha pesa na wakati mwingine mkopeshe fedha ili baadaye akulipe.
Kwa mujibu wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania, kisiwa hicho kina ukubwa wa kilometa za mraba 822 ndani ya bahari ya Hindi inayochukua asilimia 20 ya uso wa dunia.
Ongezeko hilo la mapato hayo ya dhahabu limechangiwa zaidi na kupaa kwa kiwango cha madini yaliyouzwa nje ya nchi na kuongezeka kwa bei katika soko la dunia.
Yasema waepuke mazoea ya misimu ya mvua iliyozoeleka miaka ya nyuma ili kujikinga na athari zinazoweza kutokea.
Kama hoteli uliyofikia imekuwekea sabuni, dawa ya meno na hata mswaki, hivyo ni vyako. Beba!
Linalenga kujadili maeneo kadhaa ya utafiti ikiwemo kutambua chanzo cha virusi vya Corona.
Itasitisha utafutaji wa taarifa zisizotumia mfumo wa (HTTPS) katika vitafutishi vilivyo chini ya kampuni hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) uwaandikie barua wapangaji wote wanaodaiwa kodi na shirika hilo zikiwemo taasisi za Serikali na wahakikishe zimelipwa ifikapo Mei 30, mwaka huu kabla
Umoja wa Mataifa (UN) umesema wadudu hao wanaweza kuzingira eneo lenye ukubwa wa kilomita moja na kula kwa siku moja chakula kinachowatosha watu 35,000 na kusababisha uhaba wa chakula.
Magufuli ametoa maagizo hayo leo (Februari 11, 2020) wakati akizindua majengo ya Manispaa na ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam huku akisisitiza umuhimu wa wafanyakazi hao kuishi karibu na wananchi wanaowahudumia.
Ni mfanyakazi wa idara ya Uchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Daniel Maleki.
Waiomba mahakama kuzungumza na mtuhumiwa huyo leo ili kumaliza majadiliano ya makubaliano ya kukiri na kuomba msamaha ili aachiwe huru.
Ni jukwaa la mtandaoni linalowawezesha wakulima kupata soko la mazao yao katika mikoa mbalimbali nchini na kuwaondolea changamoto ya mazao kuharibika shambani.
Kwa mujibu takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) za mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa intaneti imefikia milioni 23.1 mwaka juzi kutoka watumiaji wapatao milioni 9.3 waliokuwepo mwaka 2013
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma kwa mwezi Januari 2020, umeshuka hadi kufikia asilimia asilimia 3.7 kutoka 3.8 iliyorekodiwa katika mwaka ulioishia Disemba 2019.
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa hadi kesho kutokana na kutokamilika upelelezi.
Sababu kubwa i ni kukosa kutoa huduma na kuwapa bidhaa bora wateja wako.
Mwanasiasa mkongwe, Stephen Wasira amesema hoja ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuishawishi Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa dola za Marekani milioni 500 kwa Tanzania, siyo jibu pekee la kutatua tatizo la wasichana wanaopata mimba wakiwa shuleni.
Leo tunaanza safari hii na hifadhi ya bahari ya Ghuba. Je, umewahi kuisikia? Kama bado, haya ndiyo unatakiwa kuyafahamu.
Wanaotaka kujiajiri watakiwa kutafuta maarifa na ujuzi kwanza. Waliojiajiri watakiwa kuwaheshimu walioajiriwa kwa sababu siyo watu wote wanaweza kuwa wajasiriamali.