Waanzisha kampeni kulinda haki za wanawake, kumiliki ardhi
Itasaidia kujua wanawake walio na matatizo katika umiliki ardhi Tanzania.
Itasaidia kujua wanawake walio na matatizo katika umiliki ardhi Tanzania.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wananchi wenye namba ya utambulisho wa Taifa (NIN) waruhusiwe kupata huduma zote zinazohitaji kitambulisho cha Taifa wakati Serikali ikishughulikia upatikanaji wa haraka wa vitambulisho vyao kutoka Mamlaka ya Vitambuli
Baadhi yao hukosa kujiamini, kujieleza, mvuto na utashi wa vitu walivyoviandika kwenye wasifu (CV), jambo linalowakosesha kazi kila wanapoitwa kwenye mahojiano.
Shule ya Kipoke ya mkoani Mbeya imeporomoka kwa kasi kutoka nafasi ya 737 iliyoshika mwaka 2018 hadi nafasi ya mwisho kitaifa mwaka jana.
Ni busara kuyafahamu mahitaji ambayo ni ya lazima pekee na siyo kubeba vitu ambavyo huenda usivitumie unakokwenda.
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema wanachukua hatua mbalimbali kukabiliana na tishio la virusi vya Corona ikiwemo kuandaa maeneo maalumu ya matibabu kwa wagonjwa endapo watajitokeza na kutoa mafunzo kwa watumishi wa sekta ya afya.
Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa itaongeza zaidi viwango vya ushuru na kodi vinavyotumika sasa kwa baadhi ya bidhaa zinazoingizwa nchini ili kulinda viwanda vya ndani na kuwawezesha wafanyabiashara kuuza bidhaa hizo ndani na nje ya nchi.
Uingereza imetoa idhini ya ushiriki mdogo wa kampuni ya China ya Huawei katika ujenzi wa miundombinu ya mtandao wa intaneti wa 5G, jambo linaloweza kudhorotesha mahusiano yake ya kibiashara na usalama na nchi ya Marekani.
Baadhi ya makosa hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya barua pepe na kukosa umakini wakati kutuma maombi ya kazi.
Ubalozi wa Tanzania nchini humo umesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyethibitika kupata ugonjwa huo.
Katika kuhakikisha inapunguza idadi ya watoto wa mtaani, Serikali imesema inatekeleza mpango wa kuunganisha watoto na familia zao na kuwatafutia malezi mbadala wale wasio na familia.
Rais John Magufuli amepokea hati za utambulisho mabalozi wateule tisa walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania wenye makazi yao nje ya nchi ili kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia.
Yasema hakuna bidhaa kutoka Zanzibar zilizozuiliwa kuingia Tanzania bara bali kinachojitokeza ni changamoto za kisheria na kikanuni ambazo zina utaratibu wake wa kuzishughulikia.
Wadau mbalimbali wakiwemo wafanya biashara wamesema, wapo vijana ambao wana ona aibu kuomba kushiriki kwenye vinyang’anyiro mbalimbali vinavyokuja mbele yao licha ya kuwa na sifa zote.
Husaidia katika kubaini simu iliyopotea na mahali ilipo ikiwa namba hizo zitatumika kikamilifu.
Tenga muda wa kujifunza na kupata taarifa ya kinachoendelea katika sekta ya ajira. Tambua soko linahitaji nini kwa wakati huu ukilinganisha na ulichonacho.
Kwa mara ya kwanza picha hiyo, inayosambaa kama ni watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini China, ilichapishwa na mtandao wa South China Post Morning Post Machi 26, 2014 ikionyesha kazi ya sanaa jijini Frankfurt, Ujerumani.
Akiba ni msingi unaoweza kukuza biashara na kuwa kubwa zaidi.
Hifadhi hiyo ambayo historia yake inaanzia mwaka 1965 ni hifadhi ya Taifa ambayo imepata cheo hicho mwaka 2019 na kuifanya kuwa ardhi yenye ukubwa wa kilometa za mraba 3,865 na yenye vivutio vya kipekee kati ya hifadhi za Tanzania.
Programu za ujuzi, ufundi stadi zinawaweza kupunguza tatizo la ajira nchini.