Njia nne za kukabiliana na sumu wakati wa dharula
Ni viyeyusha sumu vya asili ikiwemo kitunguu swaumu, mkaa na ndizi mbivu ambavyo hutumika kupunguza makali ya sumu au maumivu kabla ya kwenda hospitali.
Ni viyeyusha sumu vya asili ikiwemo kitunguu swaumu, mkaa na ndizi mbivu ambavyo hutumika kupunguza makali ya sumu au maumivu kabla ya kwenda hospitali.
Tutamwaga habari za data zilizochambuliwa kwa kina na kwa lugha rahisi kuwasaidia vijana kubaini fursa na kutatua changamoto zinazowakabili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ihakikishe kuwa asilimia tatu ya wakulima wa zao la korosho ambao hawajapata fedha zao wahakikiwe na kulipwa.
Je,umewahi kutoa siri zako kwa mtu ambaye hata humfahamu? Kama ndiyo, kisa chako kinafanana na cha Emma Corrigan ambaye anajikuta akitoa siri zake za ndani kwa Jack Harper ambaye amekutana naye kwa mara ya kwanza kwenye ndege.
Vinasaidia kuokoa matumizi makubwa ya maji na ni mbadala pale kimoja kinapoacha kufanya kazi.
Rais John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori katika bustani za wanyama (Zoo) ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa ni marufuku kwa mtu au taasisi yoyote kufanya biashara ya kutoa huduma ndogo za fedha bila kuwa na leseni au usajili na adhabu kali itatolewa kwa atakayekiuka sheria.
Hiyo ni baada ya Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuainisha maeneo 15 ambayo yatahitaji msaada wa dharura wa chakula na uwekezaji kwa mwaka huu wa 2020 ikiwemo Zimbabwe na Sudan Kusini.
Ni bayana sasa kuwa Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera hataweza kupata fursa ya kushiriki msiba wa mama yake baada Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kueleza kuwa haina mamlaka ya kusikiliza maombi ya kumruhusu kushiriki maziko ama kuaga mwili
Zoezi hilo litafanyika mpaka Machi 31, 2020 kwa makampuni na biashara ambazo hazijahuisha taarifa mtandaoni
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya kikomo za mafuta za mwezi Januari 2020 na kuonyesha kuwa bei ya rejareja ya petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 2.07 huku ile ya dizeli ikishuka k
Zimewekeza katika kutumia teknolojia ili kuboresha maisha ya wananchi na kujipatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amepiga marufuku wananchi kufyatua fataki bila kibali kutoka kwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hasa katika mkesha wa sherehe za mwaka mpya.
Rais wa John Magufuli ametoa siku tano kuanzia leo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda kuondoa tofauti zao vinginevyo atatengua uteuzi wao.
Matokeo chanya ya kusafiri yanaweza kuongeza wigo wa mwanafunzi katika elimu na taaluma yake na kumuongezea uwezo wa kujifunza vitu vipya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa nchini wahakikishe wanasimamia ipasavyo ujenzi wa vyumba vya madarasa vikamilike kwa wakati ili wanafunzi wote waliochagulia kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 waanze masomo kwa pamoja.
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kwa watu watakaoshindwa kusajili laini zao za simu kwa alama za vidole ifikapo Desemba 31 na ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima laini ambazo hazijasajiliwa baada ya muda huo kupita.
Umoja wa Mataifa (UN) yasema walioamuru mauaji hayo yatokee wakiwemo baadhi ya maafisa wa Saudi Arabia wameachwa bila kuchukuliwa hatua.
Programu nyingine zilizoingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na Messenger, Instagram, Whatsapp,Twitter, Snapchat, Tiktok na Skype.
Filamu hiyo Itakufundisha kushirikiana na wale usiowatarajia wakiwemo maadui katika maisha yako.