Unayotakiwa kufahamu kuhusu “Boxing Day”
Ni siku ya mapumziko ambayo watu hutumia kupeana zawadi. Wengine hutumia kukamilisha matakwa ya kidini na mapumziko ya Kitaifa.
Ni siku ya mapumziko ambayo watu hutumia kupeana zawadi. Wengine hutumia kukamilisha matakwa ya kidini na mapumziko ya Kitaifa.
Makosa hayo ni pamoja na kufua nguo kwa sabuni nyingi ya unga na kutumia jiki kila wakati, jambo linalosababisha nguo zako zisidumu muda mrefu.
Baadhi ya mambo hayo ni kupanga ratiba, bajeti na mipango utakayotekeleza mwaka 2020. Mipango itakusaidia kutumia vizuri muda na kipato utakachokipata mwaka ujao.
Yasema kinachohitajika ni uchunguzi huru ili kuhakikisha uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa katika kesi hiyo.
Ni kweli jokofu limetengenezwa kwa ajili ya kuhifadhi vyakula ili visiharibike na ni kweli kifaa cha kupashia vyakula (Microwave) kimenunuliwa kikiwa na nafasi ya kupasha mlo mmoja kwa wakati mmoja. Lakini vinahitaji ubunifu kuvitumia kwa faida.
Baadhi ya matukio hayo ni kuanzishwa kwa hifadhi mpya mbili za Taifa na zinazotozwa katika hifadhi za Taifa na sanamu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere iliyozua mjadala mtandaoni.
Litatumia mfumo endeshi wa iOS kama ilivyo kwa simu za iPhone na kuleta ushindani kwa kampuni zinazotengeneza magari duniani.
Makosa hayo ni pamoja na kuchaji simu usiku kucha na kutumia chaja isiyokuwa ya simu yako, jambo linaloweza kufupisha uhai wa simu yako na kuingia gharama ya kununua mpya.
Nguvu ya kuwa na kiasi ni muhimu katika uimarishaji wa afya bora na kukuepusha na madhara yatokanayo na kutumia vyakula kupita kiasi.
Imejaa mafunzo lukuki yatakayokujenga na kukuvusha salama kuingia mwaka mpya wa 2020.
Ni zawadi unazoweza kumpatia umpendae katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Wataalamu na mafundi wa vyombo vya moto wameiambia Nukta mambo mbalimbali ya kuzingatia katika chombo chako ili kuepukana na gharama zisizo za lazima.
Teknolojia hizo ni zile ambazo zimeingia Tanzania kati ya 2010 na 2019 na jinsi zinavyochangia kuboresha maisha ya Watanzania katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu.
Rais John Magufuli amesema Serikali itaendelea kujenga mahakama katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania ili kuwapa uhuru wafanyabiashara na wawekezaji kuendesha shughuli zao na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Thamani ya mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania zilizosafirishwa nje ya nchi kwa mwaka unaoishia Oktoba 2019 imeongezeka kwa asilimia 10.3 ikichagizwa zaidi na bidhaa zisizo za asili ikiwemo dhahabu.
Serikali ya Tanzania imewataka wadau wa sekta binafsi nchini kuendelea kutoa maoni na mapendekezo yao ya kitaalamu kuhusu rasimu ya Sheria ya Uwezeshaji Biashara inayolenga kuweka mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa biashara na uchumi nchini.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazonyesha leo jijini Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi ni matokeo ya kuimarika kwa ukanda wa mvua na imewataka wananchi kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya athari zinazoweza kutokea.
Alama za madoa hayo hutumika kushIkilia kioo kisipate hitilafu ya kuanguka au kuvunjika.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) imeanza kuyafanyia kazi malalamiko yaliyotolewa na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) likiwemo la kuwapatia mikopo wanafunzi waliobadilisha kozi ambapo wataingiziwa fedha zao D
Ni baada ya Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) kutoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) kutekeleza maagizo manne likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe