Filamu nyingine ya kufunga mwaka 2019 yaingia sokoni
Mambo yanazidi kubadilika kwenye “Jumanji: Next level” ambapo Martha, Bethany na Anthony wanatakiwa kurudi tena ndani ya mchezo wa Jumanji kumuokoa rafiki yao Spencer ambaye anaonekana kucheza mchezo huo bila kuwashirikisha.
Corona: Hatari inayowakabili wavuvi, wafanyabiashara wa samaki
Ujenzi wa nyumba unaoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Corona ilivyopukutisha mifuko ya wafanyabiashara wa samaki Kanda ya Ziwa
Tanzania yapokea ndege ya tano aina ya De Havilland
Vituo zaidi ya 500 kutoa chanjo ya Corona Tanzania