Microsoft sasa jino kwa jino na Google katika utoaji wa taarifa
Imefanya maboresho ya kitafutishi chake cha Microsoft Edge ili kuwapa wateja wake uwezo mkubwa wa kupata vitu wanavyotafuta mtandaoni.
Imefanya maboresho ya kitafutishi chake cha Microsoft Edge ili kuwapa wateja wake uwezo mkubwa wa kupata vitu wanavyotafuta mtandaoni.
Hadi kufikia mchana wa leo (Desemba 3, 2019), chati ya mtandao huo kwa wasanii wa Tanzania, inaongozwa na Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz katika nafasi ya kwanza akichuana na vikali na Rajab Kahali anayefahamika zaidi kama Harmonize.
Kwa taarifa yako kati ya hifadhi hizo tano, nne zinatoka Tanzania zikiongozwa na hifadhi mpya ya Nyerere.
Unashauriwa kuzingatia baadhi ya mambo ikiwemo kupanga bajeti ili kuhakikisha unakuwa na matumizi mazuri ya pesa katika kipindi hiki kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka na kufungua mwaka.
Serikali ya Tanzania iko katika mchakato wa kuandaa sheria ya kulinda na kuhifadhi maeneo yaliyotumiwa na wapingania uhuru wa nchi za Kusini mwa Afrika yanayopatikana nchini ili yatumike kwa shughuli za utalii wa utamaduni na historia.
Usomaji wa taarifa hizo kwa umakini husaidia mtumiaji kufahamu malighafi zilizotumika kutengeneza bidhaa hizo na iwapo zina madhara au mzio kwake
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) imesema kununuliwa na kusimikwa kwa mashine mbili za kisasa za uchunguzi na tiba za saratani zenye thamani ya Sh9.5 bilioni kumesaidia kupunguza muda wa wagonjwa kusubiri tiba ya mionzi kutoka wiki sita hadi kufikia
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom Tanzania imesema inakusudia kuingiza sokoni mashine ya kuuzia vitafunio na vinywaji iliyoungaanishwa na mfumo wa malipo kwa njia ya simu wa M-Pesa, hatua itakayopunguza utegemezi wa vioski na maduka kununua bidhaa
Huenda elimu ya awali nchini Tanzania ikachukua mkondo wa tofauti siku zijazo baada ya takwimu mpya kuonyesha uandikishaji wanafunzi katika madarasa ya awali umeshuka mfululizo kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita kutokana na baadhi ya wanafunzi kuandiki
Nakuletea mfululizo wa makala haya ya kanuni nane za afya ambazo ni muhimu kuzingatia. Kanuni ya kwanza ni uvutaji wa hewa safi na mchango wake katika ujenzi wa afya bora ya mwanadamu.
Ni Daniel Samson aliyeibuka mshindi wa kwanza katika tuzo ya Mwandishi bora wa habari za kitakwimu inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Hatua hiyo ya Jumia inakuja siku chache baada ya kusimamisha oparesheni zake nchini Cameroon kusema inaangazia masoko sehemu nyingine duniani.
Ni kitufe kinaitwa “Defrost Button”, wapishi wanakikwepa kwa sababu mara nyingi hakileti matokeo yaliyokusudiwa.
Wapo watu wanaacha taa zikiwaka mchana kutwa ama kusahau kuzima feni na televisheni na usahaulifu mwingine huku wakisahau ukweli wa kwamba sababu za matumizi makubwa ya umeme ni nyingi na zinasababishwa na makosa ya kila siku.
Baada ya Twitter kubaini uwepo wa akaunti nyingi ambazo hazitumiki (Inactive accounts) katika mtandao wake, imekuja na mpango mkakati utakaowaamsha watumiaji wenye malengo wa kuendelea kuwa na akaunti hizo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema nyumba zote zinazojengwa na taasisi za Umma katika wilaya Kigamboni jijini Dar es salaam zikiwemo za Mfuko wa Hifadhi kamili ya Jamii (NSSF) zinapaswa kukamilika haraka ili ziuzwe ua kupangishwa ili kuwapa ahueni wananc
Mvua hizo za vuli ambazo huanza Oktoba hadi Desemba ni mahususi kwa maeneo ya nchi yanayopata vipindi viwili vya mvua kwa mwaka ambapo hujumuisha mikoa ya Kanda ya Ziwa Victoria, Ukanda wa Pwani ya Kaskazini na Nyanda za juu Kaskazini Mashariki.
Mtu anawezeshwa kuingia kuingia kwenye programu hiyo na kuangalia vituo vya afya vilivyopo karibu au kupata mawasiliano ya daktari ili kumpa ushauri wa hatua za awali za kuchukua kudhibiti changamoto ya kiafya aliyopata kwa wakati husika.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema teknolojia ya dijitali ndiyo inayounda dunia hivi sasa na inakwenda kwa kasi isiyo ya kawaida hivyo kila mtu katika dunia anapaswa kwenda na kasi hiyo ili kufaidika na fursa zinazoambatana nayo
Siku moja baada ya Rais John Mgufuli kutoa siku 60 kwa taasisi na mashirika kuwasilisha gawio serikalini, taasisi nne kikiwemo Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimetekeleza agizo hilo leo.