Magufuli atoa ujumbe mzito uzinduzi kitabu cha Mkapa
Rais John Magufuli amewataka viongozi wastaafu katika ngazi mbalimbali kuandika vitabu vinavyoelezea maisha yao ili kuwa chachu kwa Watanzania na viongozi wa sasa wanaoibukia kwenye uongozi.
Rais John Magufuli amewataka viongozi wastaafu katika ngazi mbalimbali kuandika vitabu vinavyoelezea maisha yao ili kuwa chachu kwa Watanzania na viongozi wa sasa wanaoibukia kwenye uongozi.
Serikali imesema mauzo ya kahawa katika msimu wa mwaka 2018/2019 yamewezesha kuliingizia Taifa dola za Marekani milioni 123 sawa na takriban Sh283.7 bilioni.
Wanafunzi wanaonufaika na app hiyo wanakuwa wamevalishwa bangili ya rangi ya chungwa ambapo kabla ya kula simu ya mkononi inaelekezwa kwenye bangili hiyo inasoma data na mtoto anapatiwa chakula.
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limetoa mwongozo wa kuzingatiwa na watalii wanaopenda kutembelea mbuga za wanyama nyakati za usiku ili kujionea mandhari nzuri ya maeneo hayo na wanyama ambao siyo rahisi kuwaona mchana.
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma Tanzania imepanda hadi kufikia asilimia 3.6 kwa mwaka ulioishia Oktoba 2019 kutoka asilimia 3.4 iliyorekodiwa Septemba mwaka huu, ikichagizwa zaidi na kuongezeka kwa bei za baadhi ya vyakula ikiwemo mchele na unga
Necta imetoa wito kwa kamati mbalimbali kuhakikisha taratibu zote za mitihanii zinafuatwa ipasavyo.
Wakati Serikali ikipanga kutumia Sh34.4 trilioni katika bajeti ya mwaka 2020/2021, imesema bajeti hiyo itajikita katika maeneo manne ya kipaumbele ikiwemo kufungamanisha sekta ya kilimo na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Novemba 3 mwaka huu, Serikali imetoa mikopo ya Sh162.8 bilioni kwa wanafunzi 46,838 wa mwaka wa kwanza ili kuwawezesha kumudu gharama za masomo kwa mwaka 2019/2020.
Saratani haina dalili maalumu lakini hutegemea imetokea katika eneo gani la mwili. Pia kwa kila dalili utakayoiona ni vema umuone daktari kwa ajili ya uchunguzi.
Faida ya kampuni ya huduma za simu ya Vodacom Tanzania imeongezeka kwa asilimia 32.6 hadi Sh51.4 bilioni ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2019 ikichagizwa zaidi na kuongezeka kwa mapato yatokanayo na huduma za kifedha na intaneti.
Kama ni miongoni mwa watu ambao wanapata maumivu ya mara kwa mara ya shingo, basi wabunifu wametengeneza kifaa maalum kinachosaidia utendaji mzuri wa misuli ya shingo na kukuepusha na maumivu yote.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) leo imeahirisha kutangaza mwenendo wa mfumuko wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka unaoishia Oktoba 2019 kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake, badala yake itatangaza jumatatu ya Novemba 11.
Vioo hufanya chumba kuonekana kikubwa zaidi na kumpa uhuru aliyepo ndani.
“Doctor Sleep” na “Midway”; filamu hizi zilizoingia sokoni hivi karibuni, zina visa vingi vya kufikirika lakini vyenye uhalisia wa maisha, zitaonyeshwa kwa wiki nzima kuanzia leo (Novemba 8, 2019) katika kumbi mbalimbali za sinema.
Rais John Magufuli ameshauri ushirikiano uliopo kati ya nchi za Afrika na Nordic ubadilike kutoka katika kutoa na kupokea misaada na kujikita katika diplomasia ya uchumi itakayochochea uzalishaji wa bidhaa na biashara baina ya nchi hizo.
Soma maelezo kabla ya kupakua programu kwenye simu yako na pendelea kutumia apps zilizopo kwenye duka la programu za simu linalotambulika.
Watoto wana mda mwingi wa kufanya mazoezi kwa michezo wanayofanya kuliko watu wazima.
Ni mhitimu wa chuo kikuu anayeongoza taasisi ya ‘Her Initiative’ inayofanya kazi ya kuwawezesha wasichana wa Tanzania kiuchumi ili kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Vijana wa Tanzania bado wana nafasi ya kujifunza kutoka kwa wenzao wa Nigeria ambao wameamua kuzibadilisha taka za kielektroniki yakiwemo mabaki ya kompyuta kuwa fursa ya kujiingizia kipato.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amesema Wabunge wa Bunge la Tanzania hawana haki ya kulalamikia mapungufu yaliyojitokeza katika uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa bali wale