Wadau wakutana kujadili mikakati ya kuendeleza nishati safi ya kupikia
Ni warsha iliyowashirikisha wadau makundi muhimu ya wanawake, sekta binafsi, Serikali, Asasi za Kiraia (Azaki) pamoja na wanahabari.
Ni warsha iliyowashirikisha wadau makundi muhimu ya wanawake, sekta binafsi, Serikali, Asasi za Kiraia (Azaki) pamoja na wanahabari.
Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania zimetakiwa kuimarisha na kuongeza uwezo wa uzalishaji wa bidhaa za ndani ili zifaidike kikamilifu na mkataba wa eneo huru la biashara barani Afrika (AfCFTA) ikiwemo kupata soko la uhakika la bidhaa.
Licha ya kwamba Serikali imelipa Sh417 bilioni kwa wakulima wa pamba, bado baadhi ya wakulima hawajalipwa pesa zao katika msimu wa mwaka 2018/2019, jambo linalowaletea changamoto ya kushiriki kikamilifu katika kilimo cha zao hilo.
Kati ya teknolojia ambazo zimetengenezwa kurahisisha maisha ya watu ni pamoja na programu tumishi (Apps) za kupanga bajeti binafsi au taasisi kwa ajili ya matumizi sahihi ya mapato na kufikia malengo husika.
Baadhi ya Watumiaji wa vyombo vya moto nchini sasa watakuwa na maumivu baada ya bei za mafuta mwezi Novemba kupanda kwa viwango tofauti ikilinganishwa na mwezi uliopita, zikichagizwa na mabadiliko ya bei ya nishati katika soko la dunia na gharama za usafir
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya, Charles Kichere amesema kuwa ataendelea kutekeleza majukumu ambayo yameachwa na CAG aliyemaliza muda wake, Prof Mussa Assad kwani Ofisi hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya Watanzania.
Pamoja na huduma zote nzuri utakazopata hotelini, ni mara chache sana katika hoteli hizo kupata mswaki kwa ajili ya kusafisha kinywa, licha ya kuwa ni kifaa muhimu kwa afya ya binadamu.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 73 mwaka huu, lakini historia yake kwenye ulimwengu wa mapishi haitafutika kirahisi katika mioyo ya watu wasiojiweza duniani.
Wakati maonyesho ya Wiki ya Asasi za Kiraia (Azaki) yakiendelea jijini Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka Asasi hizo ziendelee kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili zitumike katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna kazi ya kufanya kuongeza idadi ya wanawake wanaoingia bungeni, ikizingatia kuwa tangu nchi imepata uhuru mpaka sasa, wabunge wanawake ni asilimia 15 tu.
Serikali imesema ipo kwenye mazungumzo na muungano wa wawekezaji watatu kutoka Denmark, Ujerumani na Pakistan kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea mkoani Lindi.
Imebainika kuwa baadhi ya wafanyabiashara wanaingiza na kuuza mifuko mbadala isiyokidhi vigezo, jambo linalochochea uharibifu wa mazingira.
Kampuni za mawasiliano ya simu nchini Tanzania za Tigo na Zantel zimeungana rasmi baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria na umiliki ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma za mawasiliano nchini.
Huenda unajiuliza ni kwanini kila uonapo kompyuta za kisasa, hauoni sehemu za kuweka CD wala DVD na unajiuliza nini kipya kitakuja baada ya teknolojia hiyo kutoweka kabisa. Kwa nini teknolojia hiyo inatoweka kwa kasi?Na nini mbadala wake?
Waandaaji wa Tamasha la Urithi Wetu wametakiwa kuwa wabunifu kwa kuongeza michezo mbalimbali ya jadi ambayo itasaidia kukuza kazi za sanaa na utamaduni wa Mtanzania ili kukuza fursa za utalii na kuwaongezea wananchi kipato.
Rais John Magufuli ametoa maagizo mbalimbali kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ikiwemo kufanya kazi kulingana na maagizo anayopewa na mihimili mitatu ya nchi ikiwemo Bunge na anatakiwa kutekeleza majukumu yake ukaguzi kwa uadili
Serikali imesema itaendelea kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya usafirishaji ikiwemo mikataba ya ajira kwa madereva wa mabasi na malori ili iweze kuongeza mchango wake katika kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati ifikapo 2025.
Baada ya Rambo kutamba na “Last blood” huenda visu, mabomu na mitego yake ikasahaulika kwani Anold Schwarzenegger, amerudi kwa kasi.
Wameanzisha teknolojia hiyo kwa lengo kuu la kuwasaidia wafanyabiashara kutunza bidhaa hiyo kwa muda mrefu isiharibike wakiwa barabarani.
Mr Beast ambaye alianza safari hiyo Oktoba 25, 2019, alifanikiwa kupanda miti 300 kwa siku moja akishirikiana na marafiki zake wasiopungua 10.