Zifahamu tozo zinazotozwa kwenye hifadhi za Tanzania 2019-2020
Kutembelea vivutio vilivyopo katika hifadhi hizo ni njia mojawapo ya kuendeleza sekta ya utalii ili kuongeza pato la Taifa na utolewaji wa huduma za kijamii.
Kutembelea vivutio vilivyopo katika hifadhi hizo ni njia mojawapo ya kuendeleza sekta ya utalii ili kuongeza pato la Taifa na utolewaji wa huduma za kijamii.
Maamuzi hayo yamefikiwa ili kupunguza vurugu na usambazaji wa taarifa zisizo za ukweli katika mtandao huo.
Kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa kwa kushirikiana kampuni ya Ona Stories jana (Novemba 30,2019) waliandaa warsha ya siku moja kuhusu zana muhimu zinazoweza kutumiwa na vyombo vya habari vinavyoibukia Afrika kutengeneza maudhui yenye manufaa
Licha ya benki ya CRDB kuongoza kwa kuuza kiwango kikubwa cha hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE), thamani ya hisa zake imeshuka kwa asilimia tano na kuwafanya wawekezaji wake kupoteza Sh5 kwa kila hisa moja.
Facebook ina mpango wa kuongeza kipengele cha utoaji wa habari mbalimbali ikiwemo teknolojia, biashara katika programu yake tumishi (App) ili kuwapatia watumuaji wake habari za uhakika kila wakati.
Huenda ni kawaida kwako kumuona pweza akiteleza kwenye mapango ya bahari ya hindi au ngadu akikimbia upande upande lakini, inaweza ikawa ni nje ya matarajio kufahamu kuwa Tanzania ni makazi ya viumbe ambavyo huenda hujawahi kufikiri kama vinaishi?
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema Gavana wa benki hiyo, Profesa Florens Luoga hajafungua akaunti ya mtandao wa kijamii wa Facebook, kinyume na taarifa na picha zinazojitokeza katika mtandao huo kwa jina lake.
Sarafina Wasley na Elverenta Reuben, ni mabinti ambao wamejikita katika masomo ya udaktari na uhandisi ni miongoni mwa walimbwende wanaofanya vizuri katika tasnia sanaa Tanzania.
Ripoti ya matumizi ya nishati safi inaeleza kuwa ikiwa wafugaji wa Tanzania na Kenya watawezeshwa kutumia vifaa vya kuhifadhia maziwa vinavyoendeshwa na nishati jadidifu watapunguza upotevu wa bidhaa hiyo na kuongeza kipato katika kaya zao.
Umekua kwa wastani wa asilimia 7.2 katika robo pili ya mwaka 2019 kutoka asilimia 6.1 kipindi kama hicho mwaka 2018 huku kuaji huo ukichangiwa zaidi na shughuli za ujenzi, madini, habari na mawasiliano.
Wanasayansi wanasema plastiki haitengenezwi na kemikali za Dioxin badala yake inatengenezwa na kemikali za Bisphenol- A na phthalates ambayo haina madhara ya moja kwa moja.
Wadau wa elimu wajadili kwa mtazamo tofauti, wanafunzi kufanya kazi ndogo ndogo wakiwa shuleni, baadhi wakikubaliana na dhana hiyo huku wengine wakikataa.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 2019 na kuitaja Shule ya Msingi Mhezi iliyopo mkoa wa Tanga kushika mkia kitaifa.
Inazungumzia mahusiano ya ndoa na jinsi ya kuishi na mpenzi wako. Unahitaji kitambaa kujiziba mdomo wakati ukifuta machozi wakati filamu hii itakapoonyeshwa kwenye kumbi mbalimbali.
Imeshika nafasi ya 141 kati ya nchi 190 katika urahisi wa kufanya biashara duniani baada ya kupanda kwa nafasi tatu kutoka 144 mwaka 2018/2019.
Imeshika nafasi ya mwisho kitaifa kama ilivyokuwa mwaka jana katika mtihani huo na kuingiza shule moja na halmashauri mbili za Butiama na Rorya kwenye orodha ya halmashauri 10 za mwisho kitaifa.
Imeboresha App yake ili kumsaidia msafiri kufahamu kwa urahisi gari aliloita kulingana na rangi aliyopewa wakati anaita usafiri kwenye simu yake.
Ni baada ya kugundua uwepo wa wafanyabiashara wengi wa Urusi wanaokusudia kuja Tanzania kwa ajili ya kuangalia maeneo ya uwekezaji.
Ni mkimbizi wa Syria, Safaa Sukarria aliyeko ukimbizi nchini Jordan ambaye amejikuta akiingia katika kazi hiyo baada ya kukosea kuelewa neno la kiarabu la ‘sabaka’ ambalo kwao Syria linahusika na uyeyushaji vyuma na vito, huku nchini Jordan likimaanisha uf
Huenda unajiuliza juu ya usalama wa “earphone” unazotumia. maswali yako yanaweza kujibiwa na baadhi ya dondoo hizi muhimu.