Google sasa kukuchagulia usafiri wa ndege wa bei nafuu
Watu wanaotaka usafiri wa bei chee nao kuhudumiwa kama ilivyo kwa wenye fedha nyingi.
Watu wanaotaka usafiri wa bei chee nao kuhudumiwa kama ilivyo kwa wenye fedha nyingi.
Umuhimu wa kifaa hicho kinasaidia mtu kupumua vizuri bila shida pindi anapokuwa kwenye usingizi.
Wanyama hawa baadhi yao wapo kwenye kundi la wanyama wanaotoweka.
Mrushaji anatakiwa kupata vibali vinne kikiwemo cha Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA).
Wakati vikao vya kamati ya nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) vikiendelekea nchini Marekani, Tanzania imeendelea kuipigia chapuo lugha ya Kiswahili iwe miongoni mwa lugha rasmi za chombo hicho chenye wanachama 193.
Wakati thamani ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiongezeka kwa asilimia 35.7, wawekezaji wa kampuni ya bia ya Afrika Mashariki (EABL) na kampuni ya habari ya NMG leo watalala na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka k
Safari imefungua mlango kwa watumiaji wa simu hizo kutumia bidhaa yake ya “Google Maps” iliyoboreshwa zaidi ambayo inawawezesha kujua hali ya barabara wakati wowote kwa kuwajulisha kama kuna ajali imetokea, barabara inajengwa au inafanyiwa ukarabati.
Umoja wa Mataifa (UN) umezitaka nchi wanachama wake ikiwemo Tanzania kuweka mifumo imara ya kukusanya takwimu sahihi na kwa wakati ili zisaidie katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu ifikapo 2030.
Mahitaji ya kazi au biashara yako, ndiyo yanaweza kukuongoza simu ya kutumia ili kuhakikisha inakusadia kukamilisha shughuli zako za kila siku.
Hakikisha unatatua matatizo ya msingi ya wateja wako, ongeza ubunifu na panga bei inayolingana na thamani ya bidha.
Vikao vya kamati za Bunge kwa ajili ya mkutano wa 17 wa Bunge la Tanzania vinatarajiwa kuanza Jumatatu ya Oktoba 21, 2019 huku miongoni mwa shughuli zitakazotekelezwa na vikao hivyo ni kushughulikia hoja mbalimbali zilizopo katika taarifa ya hesabu zilizok
Wakati joto la kutangazwa kwa matokeo ya kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2019 likiwa bado halijapoa, orodha ya halmashauri 10 zilizofanya vibaya imetoka huku Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini ikiwa ya mwisho kitaifa baada ya takriban nusu ya
Thamani ya mauzo ya wiki nzima katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka hadi Sh337.7 milioni kutoka Sh156.4 milioni iliyorekodiwa juma lililopita huku wachambuzi wakibainisha kuwa kunaweza kutokea mwenendo mzuri siku zijazo.
Siku mbili baada ya habari kusambaa nchini kuwa baadhi ya kompyuta katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) zimeibwa, Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kuwa wizi huo haukufanywa kwenye ofisi kuu na nyaraka za uhujumu anazoshug
Kama ulikuwa hujui, basi uume nao unaweza kuvunjika na kwa lugha ya kitaalamu hujulikana kama “Penile Fracture”.
Kuvunjika kwa uume huchukuliwa kama ni dharula ya kitabibu katika idara ya urolojia inayohujika na matibabu ya magonjwa ya njia ya mkojo.
Teknolojia hiyo ina madhara yake ikiwa haitatumika kama ilivyokusudiwa kwa sababu inaweza kusababisha magonjwa na hata kifo kutegemeana na mazingira inapotumika.
Mara waendelea kushika mkia kwa mara ya pili mfululizo ukiwa na wastani wa ufaulu wa takriban asilimia 70.
Basi hii ndiyo sababu ya wewe kutupilia mbali “earphones” zako, kuachana na kompyuta yako na kutafuta kumbi hizo ili kutazama filamu hizo zenye vingi hasa kwa wapenzi wa filamu za kivita.
Televisheni ya mtandaoni ya Kwanza Tv imekata rufaa kwa Baraza la Ushindani Tanzania (FCT) dhidi ya adhabu ya kufungiwa kwa muda wa miezi sita iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kukiuka kanuni za utangazaji.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania, Ali Mafuruki ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia Desemba 1, 2019 ili apate muda zaidi wa kuendelea na biashara zake.