TMA yatoa neno dhoruba iliyotokea Arusha, Manyara juzi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatoa hofu wakazi wa mikoa hiyo na kuwataka waendelee na shughuli zao kwa sababu hali ya hewa iko vizuri.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatoa hofu wakazi wa mikoa hiyo na kuwataka waendelee na shughuli zao kwa sababu hali ya hewa iko vizuri.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Dk Edwin Mhede ameeleza sababu mbalimbali zilizochangia kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato ya Sh1.7 trilioni mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuziba mianya ya ukwepaji kodi kwa kusimamia ki
Tanzania na Uganda zimejipanga na zinaendelea kutumia teknolojia kurahisisha vipimo vya Ukimwi ili kuondoa tishio la ugonjwa huo kuondoa uhai wa watu na nguvu kazi ya Taifa lakini matumizi ya teknolojia kutokomeza ugonjwa huo bado yanaibua mjadala kwenye j
Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya wazee duniani, Serikali na wadau mbalimbali wameitaka jamii kutokwepa jukumu la kuwatunza wazee kwani nguvu zao za uzalishaji mali zimepungua.
Wamuomba Rais Magufuli amsamehe “iwapo aliteleza katika utekelezaji wa majukumu yake ya uandishi wa habari.”
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) imetoa orodha ya waombaji 10,452 wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa siku nne.
Rais John Magufuli amesaini sheria nne ikiwemo ya Sheria ya Serikali Mtandao namba 10 ya mwaka 2019 zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Tanzania ili zianze kutumika rasmi.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya amesema ikiwa mfumo wa kielektroniki wa utoaji taarifa za kibiashara nchini Tanzania utatumiwa vizuri utaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ikiwemo kupunguza muda anaotumiwa kupata
Raisi John Magufuli amefanya mabadiliko mbalimbali ya viongozi wa Serikali ikiwemo kumteua Dk Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeishauri Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kutumia njia ya majadiliano na onyo kabla ya maamuzi ya kusimamisha au kupiga faini chombo cha habari ili kuondoa mkanganyiko wa maamuzi yanayotole
Jenga uaminifu kwa wateja wako kwa kuwapa bidhaa bora na zinazokidhi mahitaji yao.
Rais John Magufuli ameongeza siku saba kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili kufikisha maombi ya kukiri makosa na kulipa fedha za umma katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP).
Njia bora ya kuacha kuvuta sigara ni kuacha mara moja siyo kuacha taratibu, lakini hii inaweza kuwa changamoto kwa wengi.
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba John Kabudi ameitaka jumuiya ya kimataifa kuwajibika na isipoteze muda na watu wasioamini katika uharibifu wa mazingira unaosababisha mabadiliko ya tabianchi
Kampuni hiyo ya teknolojia ya Marekani ilizaliwa Septemba 27, 1998. Inasifika zaidi kwa kutoa huduma ya watu kutafuta vitu mbalimbali mtandaoni.
Tumia vizuri pesa yako wakati wa mtoko huku ukiwa umeipangilia vizuri ili isiharibu mipango mingine. Kama unaweza, kaa nyumbani na familia yako ili kuepuka gharama kubwa za mtoko.
Licha ya kuibua hisia kwa mtazamaji, filamu hizi zitakufundisha kuwa binadamu mwema ana mapenzi na familia yake. Zinaonyeshwa kwa siku saba kuanzia leo Septemba 27 katika kumbi mbalimbali za sinema.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi na Halmashauri ya Mji wa Mafinga wahakikishe wanajenga mradi wa kimkakati kwa kutumia fedha za mapato ya ndani na si kusubiri miradi kutoka Serikali Kuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara afuatilie sababu za mikoa ya Tanga na Njombe kutotekeleza sheria ya kutoza asilimia tano ya ushuru unaotokana na mazao ya misi
Georgieva mwenye umri wa miaka 66 anachukua nafasi ya mtangulizi wake mwanamama Christine Lagarde ambaye amemaliza muda wake.