Rais Magufuli ateua Mwenyekiti mpya Bodi ya uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi
Rais John Magufuli amemteua Dk Leonard Chamriho ambaye ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri wa uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi.
Rais John Magufuli amemteua Dk Leonard Chamriho ambaye ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri wa uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi.
Serikali imesema itaendelea kuboresha maslahi ya wafugaji ili kuongeza kasi ya Watanzania kuywaji wa maziwa hasa wanafunzi waliopo shuleni.
Mambo hayo ni pamoja na kuwa msikivu, ongea unachokijua kwa ufasaha na tumia lugha ya mwili ikiwemo tabasamu.
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani ameziagiza mamlaka zote zinazohusika na upangaji wa bei ya gesi asilia, kufanya mapitio upya ili kuja na bei itakayozinufaisha pande zote yaani Serikali na wawekezaji.
Serikali imesema itaendelea kudhibiti uingizwaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya Tanzania ili kulinda na kukuza viwanda vya ndani na vitakavyochangia ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha la awamu ya nne ya udahili wa wanafunzi katika vyuo mbalimbali nchini ili kutoa nafasi kwa vyuo kukamilisha udahili na waombaji ambao mpaka sasa hawajapata nafasi katika vyuo hivyo.
Mtandao huo uko mbioni kuanzisha jukwaa jipya la “Twitter Next” ambalo linawakutanisha wadau na wabia wa biashara duniani kujadili na kushauriana njia bora za kukuza biashara na “brand” zao.
Rais John Magufuli amemteua Dk Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akichukua nafasi ya mtangulizi wake, Adrew Masawe aliyemaliza muda wake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika uwekezaji, Angellah Kairuki amekitaka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuwafikia kikamilifu wawekezaji wazawa hususani waliopo mikoani ili kuwatambua na kuwaelimisha kuhusu fursa zinazotolewa na taasisi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato kwani ujenzi wa miradi ya maendeleo zikiwemo shule na hospitali haiwezi kutekelezwa bila mapato ya uhakika.
Itasaidia kuondoa usumbufu wa kukagua hati za kusafiria pamoja na kupunguza muda ambao abiria anatumia kukaguliwa.
Fedha hizo zitawanufaisha watu 500,000 kutoka vijiji 165 kupata maji safi yanayosambazwa na mifumo ya umemejua.
Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeing imeanza mchakato wa kuzilipa fidia familia za watu waliopoteza maisha katika ajali mbili za ndege aina ya Boeing 737 Max 8 zilizotokea Indonesia na Ethiopia mwaka huu lakini familia hizo zimesema kiasi kilichopangwa k
Kuanzia Septemba 26, watumiaji wake hawataweza kuweka picha kwenye kipengele cha stori (story section) katika makundi ya mtandao huo.
Ameitaka ziwajibika ipasavyo ili kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ya mwaka 2030.
Orodha hiyo imeongozwa na msanii Kanye West ambaye anamiliki Sh344.7 bilioni akitawaliwa na wanaume ambo wote wanatoaka nchini Marekani.
Serikali imeridhia kufuta hifadhi saba na mapori tengefu 12 ambayo yamepoteza sifa na imeamua yagawiwe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo ili kuwaondolea kero za uhaba wa ardhi.
Ni siku moja baada ya Rais Magufuli kushauri watuhumiwa hao waliopo mahabusu wasamehewe kama watakubali kutubu na kulipa fedha za umma.
Moja ya sifa kubwa anayotakiwa mtu kupata alama hiyo ni pamoja na kuwa na watazamaji kuanzia 100,000 na kuendelea
Zimetozwa faini hiyo baada ya kukiuka kanuni ya kuzuia utakatishaji fedha kwa kushindwa kuhakiki taarifa za utambulisho wa wateja wao na kuwasilisha taarifa ya miamala yenye mashaka.