Bandari ya Dar es Salaam kubeba mizigo tani milioni 25 ifikapo 2021
Hiyo ni baada ya kukamilika kwa ukarabati wa magati nane kati ya 12. Kwa sasa bandari hiyo inabeba mizigo tani milioni 17 kwa mwaka.
Hiyo ni baada ya kukamilika kwa ukarabati wa magati nane kati ya 12. Kwa sasa bandari hiyo inabeba mizigo tani milioni 17 kwa mwaka.
Mchuano baina ya wasanii wa muziki Tanzania ukiwemo wa Bongo Fleva kwenye mtandao wa YouTube umekuwa wenye ushindani hasa baada ya wasanii wengi kutoa nyimbo zao siku za hivi karibuni
Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imezitaka nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kuongeza kasi ya uvumbuzi kwenye kilimo na matumizi ya teknolojia ili kumaliza umaskini.
Ni mafunzo ya uthibitishaji habari (Fact Checking) yatakayofanyika kwa siku tatu jijini Dar es Salaam.
YouTube imebadilisha vigezo vya wanamuziki, nyimbo na video zinazoingia katika orodha bora zilizo na watazamaji wengi
Ndani ya miaka sita tangu kuanzishwa kwake, Patmos imekua kwa kasi kitaaluma kiasi cha kuzibwaga shule kongwe.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema mpaka sasa hivi hakuna mgonjwa yeyote ambaye amethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Ebola nchini Tanzania.
Njia hiyo itasaidia kukusanya takwimu za kijamii badala ya kutegemea data na mipango kutoka jumuiya za kimataifa.
Fedha hizo ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kijamii unaolenga kuboresha maisha ya watu wanaoishi katika kaya maskini wakiwemo wanawake na watoto.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi filamu hizi mpya zinazoonyeshwa kwenye kumbi za sinema hapa Jijini Dar es Salaam zikiwemo Mlimani City Mall na Mkuki House Mall zitakufaa.
Yawataka wadau watakaoshiriki uchaguzi huo kuzingatia sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa. Watakaokiuka kuchukuliwa hatua za kisheria.
Serikali imesema itatoa nafasi ya kwanza ya ununuzi wa korosho msimu huu kwa wenye viwanda nchini ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na zao hilo.
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UN Environment) limezindua tovuti mpya na mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiswahili ili kuwafikia mamilioni ya wazungumzaji wa lugha hiyo kote duniani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji ifuatilie utendaji wa mamlaka zilizopewa dhamana ya kusimamia miradi ya maji katika maeneo mbalimbali nchini na ihakikishe kwamba bili wanazotozwa wananchi zinakuwa na uhalisia na siyo kuwaumiza.
Maziwa ya Eyasi, Rukwa, Nyasa, Tanganyika na Victoria ndiyo maziwa makubwa zaidi nchini Tanzania. Yanatumika kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kuwanufaisha wananchi na Taifa ikiwemo uvuvi na utalii.
Sasa, kila mchapishaji atatakiwa kuonyesha lengo la kuchapisha maudhui yake. Hatua hiyo ni kuwalinda watoto na maudhui yasiyofaa hasa matangazo yasiyoendana na umri wao.
Mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania nje ya nchi yameongezeka hadi kufikia zaidi ya Sh19.7 trilioni katika mwaka unaoishia Julai 2019 kutoka Sh19.6 trilioni iliyorekodiwa Julai mwaka uliopita, yakichagizwa zaidi na bidhaa zisizo za asili.
Rais John Magufuli leo amemteua na kumuapisha Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS).
Kamishna Diwani amechukua nafasi ya Dk Modestus Kipilimba ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewatoa hofu wakulima na kuwahakikishia kuwa pamba yao yote iliyopo gharani itanunuliwa katika kipindi kifupi kijacho.
Katika sehemu hii ya pili, utaifahamu lehemu mbaya na vyanzo vyake na namna gani unaweza kuishinda kwa njia rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.