Youtube yawaongezea nguvu wanamitindo duniani
Imeongeza kipengele kipya kwa ajili ya mitindo baada ya kubaini kuwa ina wafuasi wengi.
Imeongeza kipengele kipya kwa ajili ya mitindo baada ya kubaini kuwa ina wafuasi wengi.
Kiongozi huyo ambaye alitawala nchi ya Zimbabwe tangu mwaka 1987 hadi 2017 amefariki dunia akiwa nchini Singapore leo ambako alikuwa anapatiwa matibabu kwa muda mrefu sasa.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 95 na atakumbukwa zaidi kwa mchango wake wa kupigania ukombozi wa bara la Afrika.
Programu hiyo na zingine ikiwemo Chrome zimefanya maboresho mbalimbali kukulinda dhidi ya wadukuzi na matumizi mabaya ya taarifa zako mtandaoni lakini bado hazifanya kama inavyotakiwa.
Rais wa sasa wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mugabe kupitia ukurasa wake waTwitter
Imesema mpaka sasa imebaini leseni zaidi ya 18,000 zenye makosa ambazo zimeanza kufutwa kwenye mfumo wa wizara hiyo ili kutoa fursa kwa wawekezaji kuomba upya.
Iko miongoni mwa nchi sita za Afrika zinazomiliki asilimia 20 ya shughuli za ujasiriamali wa kidijitali.
Inadaiwa kuwa Youtube ilifanya kosa la kuingilia jumbe zinazohusu watoto ambao ni moja ya wateja na wenye haki ya kuwa na faragha katika maudhui wanayoangalia.
Serikali imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa ndege nchini Afrika Kusini hadi hali ya usalama wa nchi hiyo itakapokuwa sawa.
Mikoa hiyo ni Arusha, Shinyanga, Geita, Mwanza, Simiyu, Tanga, Manyara, Singida, Dodoma na Mara ambayo yote kwa pamoja ina mbuzi zaidi ya milioni 13.
Baadhi ya wadau wasema mafanikio hayaangalii historia ya mtu bali bidii na ubunifu.
Katika kuhakikisha intaneti inakuwa sehemu ya huduma muhimu kwenye jamii, wadau mbalimbali wanachagiza matumizi ya mtandao huo ikiwemo kujenga vituo vya kutolea huduma hiyo ili tu kuongeza kasi ya maendeleo.
Yazindua mfumo wa kielektroniki wa kusajili bidhaa, majengo na maeneo ya uzalishaji.
Ni kwa sababu hoja za mawakili wa Tanzania zimeshinda dhidi ya mlalamikaji na ameariwa kulipa gharama zote za kesi.
Wingi na usawa wa lehemu kwenye mwili una maana kwani mwili wa binadamu unahitaji kiwango fulani cha lehemu ili kutengeneza vitu kama homoni, vitamini D na baadhi ya vitu vinavyosaidia katika mmen’genyo wa chakula.
Mvua hizo za vuli ambazo huanza Oktoba hadi Desemba ni mahususi kwa maeneo ya nchi yanayopata vipindi viwili vya mvua kwa mwaka zinaweza kuambatana na vipindi vya mvua nyingi na chache na kuathiri shughuli za uzalishaji ikiwemo kilimo na miundombinu.
Alianza kuuza pipi akiwa shule ya Sekondari Debrabant iliyopo wilaya ya Temeke kwa mtaji wa Sh2,000 na sasa amefika ngazi ya diploma akisomea masomo ya biashara.
Ameiomba Serikali ya Japan ikubali kutoa mafunzo zaidi kwa madaktari bingwa wa upasuaji na wa magonjwa ya figo na moyo kutoka Tanzania.
Limesema kuanzia kesho Wabunge watapatiwa taarifa za orodha ya shughuli za Bunge kwa kutumia simu, mitandao ya kijamii na barua pepe.
Hilo linawezekana kama msafiri ataanzisha mazungumzo na mtu anayeona anamfaa na kutumia programu tumishi mahususi kwa ajili ya wasafiri wa ndege.