October 6, 2024

Safari bado ndefu elimu ya juu Tanzania

Baadhi ya vyuo vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kutokukidhi vigezo vya utoaji wa elimu bora.

  • Baadhi ya vyuo vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kutokukidhi vigezo vya utoaji wa elimu bora.
  • Licha ya vyuo vya umma kuwa vichache ukilinganisha na vyuo binafsi, vinaongoza kwa kudahili wanafunzi wengi kila mwaka.