October 6, 2024

Ufanye nini unapokuwa katika mahusiano yanayokupa msongo wa mawazo?

Mahusiano yanayokupa msongo wa mawazo ni yale yanayokunyima amani na kukuacha ukitamani kuondoka.

  • Ni pamoja na kutatua changamoto mnazopitia kwa kupata ushauri wa kitaalamu au kuongea na viongozi wa dini.

Dar es Salaam. Baadhi ya watu wanapopitia kipindi kigumu katika mahusiani na wenza wao, kutatua changamoto hizo huwaza kutengena au kuachana kabisa.

Wasichokijua ni kuwa hakuna mahusiano yasiyo na changamoto lakini inategemea namna mnavyoshughulikia tofauti zenu na kisha kusonga mbele. 

Kabla ya kuchukua hatua ya kumuacha umpendaye, tafakari maana huko utakakwenda utakutana na changamoto pia. Tafakari kwa kina tatizo liko wapi na jinsi ya kulitatua.

Tazama video hii kufahamu zaidi: