June 29, 2024

Ujumbe maalum kwa wasiopenda kuvaa barakoa

Uvaaji barakoa wakati huu wa janga la Corona unasaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa huo kwa asilimia 80.

Dar es Salaam. Kama hujaanza kuvaa barakoa anza leo. Uvaaji barakoa wakati huu wa janga la Corona unasaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa huo kwa asilimia 80.