October 6, 2024

Utarajie nini unapopata chanjo dhidi ya Corona?

Kabla ya kupata chanjo utapewa ushauri na mto huduma za afya kama unastahili kupata chanjo au la!

Dar es Salaam. Utarajie nini unapopata chanjo dhidi ya Corona? Kabla ya kupata chanjo utapewa ushauri na mto huduma za afya kama unastahili kupata chanjo au la!