October 6, 2024

Visa vya Corona vyavuka milioni 4 Afrika

Idadi watu waliopata virusi vya Corona barani Afrika imefikia wagonjwa milioni 4 ambapo kati ya hao 107,001 sawa na asilimia 2.7 wamefariki dunia.

Dar es Salaam. Idadi watu waliopata virusi vya Corona barani Afrika imefikia wagonjwa milioni 4 ambapo kati ya hao 107,001 sawa na asilimia 2.7 wamefariki dunia.