Lupin II: Filamu inayoelezea mwanzo wa uhalifu wa kitanashati
Hayo yote yanapatikana katika filamu ya “Lupin” sehemu ya pili ambayo inatikisa jukwaa la kutazamia filamu la Netflix.
Hayo yote yanapatikana katika filamu ya “Lupin” sehemu ya pili ambayo inatikisa jukwaa la kutazamia filamu la Netflix.
Soko kubwa zaidi la bidhaa za Tanzania nje ya nchi ni Afrika Kusini.
Chanjo hizi zimetengenezwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Marekani na Ujerumani.
Ni muhimu kuhakikisha unanunua gari zima ambalo halitokusumbua na kukuingizia gharama ambazo haujajiandaa nazo.
Wakati baadhi ya wamiliki wa magari wakidhani gari imeharibika au vituo vya kuweka mafuta vinawaibia, saa zingine ni tabia zao ndio sababu ya matumizi ya mafuta kuwa makubwa.
Licha ya kuwa pombe ni sehemu ya starehe, kinywaji hicho kinaambatana na madhara mbalimbali ya kiafya kama itatumiwa isivyo.
Matumizi ya pombe kwa baadhi ni chanzo cha ajali za barabarani na aibu ya kudumu.
Ili kuwa na afya nzuri ya akili ni muhimu kuacha baadhi ya tabia hatarishi ikiwemo matumizi ya pombe na madawa ya kulevya.
Mjamzito anashauriwa kutumia lishe bora kwa ajili yake na mtoto wake.
Toyota IST inashika nafasi ya kwanza kwa kutumiwa na Watanzania. Mengine ni Toyota Corolla Rumion na Toyota Alphard.
Loki ambaye ni mungu wa udanganyifu na utundu anajikuta katika kibano cha kulipia makosa yake.
Unashauriwa kupata habari zako kutoka kwa chanzo kinachoaminika.
pale unapoona changamoto yoyote katika utendaji kazi wa jiko lako lagesi, unashauriwa kuita fundi ili afanye matengenezo.
Tafuta furaha ambayo ulikuwa nayo mwanzoni wakati unaanzisha biashara ua kampuni yako.
Watanzania wamesema mapendekezo hayo yanaweza kuathiri biashara na sekta ya elimu.
Aliyeubuni amesema mlima huo utawakumbusha viongozi na dunia kwa ujumla uharibifu wamazingira unaotokana na taka za kielektroniki.
Barakoa ni kati ya njia ya kujikinga na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa ikiwemo Covid-19.
Ni pamoja na kuhakikisha unasoma zaidi kuhusiana na habari hiyo kupitia vyanzo rasmi ikiwemo WHO.
Serikali yapendekeza kila laini kulipiwa Sh10 hadi Sh200 kila siku kulingana na uwezo wa mtumiaji kuongeza salio.
Imepunguza kodi kwa washidi na kuongeza kodi kwa baadhi ya michezo ili kukuza sekta ya michezo.