Sababu za wanawake wa Tanzania kurudia nywele za asili
Nywele asilia umekuwa ndiyo mtindo mpya kwa wanawake kwa sasa. Baadhi ya saluni kutengeneza nywele kwa dawa zimeanza kukosa wateja.
Nywele asilia umekuwa ndiyo mtindo mpya kwa wanawake kwa sasa. Baadhi ya saluni kutengeneza nywele kwa dawa zimeanza kukosa wateja.
Ubakaji ni matukio ambayo hayawezi kuzuiwa na doria za polisi mitaani pekee kwa kuwa sehemu kubwa ya hufanyika katika mazingira ya kificho kama majumbani, mashambani na hata mashuleni.
Wastani wa makosa 21 ya ubakaji yaliripotiwa kwa siku Tanzania mwaka 2019. Hizi si takwimu tu bali ni masaibu yenye maumivu kwa watoto, dada, shangazi au mama zetu.
Hadi kufikia mwaka 2017/18 zaidi ya nusu ya kaya za Tanzania zilikuwa hazimiliki redio.
Ni wakazi wa Mtaa wa Michese ambao wamepata fidia ya zaidi ya Sh3 bilioni kupisha mradi wa umemejua. Fidia hiyo wameitumia kujenga nyumba za kisasa na kuingia kwenye ujasiriamali.
Licha ya kuwa baadhi wanaona kuwa e-cigarrate ni mbadala, wataalamu wengi wa afya wanashauri watumiaji kuachana kabisa na matumizi ya tumbaku kwa awamu ili kutoathirika zaidi na uraibu.
Mapato ya ushuru wa bidhaa kutoka kwenye sigara mwaka 2017/18 yalitosha kabisa kugharamia miradi ya maendeleo na matumizi ya kawaida ya wizara tatu za Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa na Wizara
Asilimia 7 ya wakazi wa vijijini wanatumia bidhaa za tumbaku ikilinganishwa na asilimia 6.3 ya wakazi wa mjini.
Watanzania zaidi ya 17,200 hufa kwa magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku kila mwaka.
Ugumu wa maisha unazidi kuhatarisha safari ya kielimu ya Mzee Mabindo, shule anaitaka na familia inamtegemea, je anafanya nini kutatua mtanziko huo?
Pamoja na kupata elimu bila malipo, Mabindo hawezi tena kwenda shule kwa sasa kwa sababu hana fedha za kumudu familia.
Ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Nyamagana jijini Mwanza ambaye bado hajaonekana darasani baada ya shule kufunguliwa Tanzania.
Walimu katika ngazi hiyo wanatumia viboko na vitisho kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na nidhamu.
Kijana huyo aliamua kujaribu kufanya maombi ya kuingia katika shule ya MultiChoice iliyofungua milango ya ndoto zake.
Wadau wa elimu wamependekeza baadhi ya mikakati itakayosaidia watahiniwa kidato cha sita mwaka 2020 kufanya vizuri ikiwemo kuwaandaa kisaikolojia na kuwahimiza kusoma kwa bidii.
Marufuku ya mikusanyiko imeleta athari nyingi hasa kwa wanamuziki ambao walikuwa wakitumbuiza katika maeneo mbalimbali na kujipatia kipato kwa ajili ya maisha yao.
Jessica ambaye pia ni mwanamuziki wa nyimbo za injili anasema kila anapozalisha kuku wake hana mashaka kwa sababu anaelewa kuwa “masoko ya hawa kuku huwezi kuyamaliza.”
Grace ni miongoni mwa wanawake na vijana wengi ambao wameamua kuachana na utegemezi na kuamua kutumia fursa za ufugaji wa kuku Tanzania ili kuboresha maisha yao na familia zao. Unaweza kuwa kama Grace.
Tangu akiwa kidato cha tano, alianza biashara na kujitegemea kwenye mambo mbalimbali na sasa ana kampuni mbili za viungo vya vyakula na vifungashio
Ni Christina Mwanga mkazi wa kijiji cha Olevolos kilichopo kata ya Kimnyaki nje kidogo ya jiji la Arusha, Tanzania ambaye anatumia nishati ya biogesi (Biogas) kwa ajili ya kupikia.