Msichana wa miaka 19 aibuka na suluhisho la FundiPopote
Changamoto za kuwepo kwa vifaa vibovu bila kutengenezwa kumemsukuma kuanzisha sehemu itakayowakutanisha mafundi na wateja.
Changamoto za kuwepo kwa vifaa vibovu bila kutengenezwa kumemsukuma kuanzisha sehemu itakayowakutanisha mafundi na wateja.
Awashauri wanahabari wajifunze jinsi ya kuripoti habari za takwimu kwa usahihi na lugha rahisi ili kuwa na thamani katika soko la ajira.
Washauriwa kuwa wakweli pindi wanapoomba mitaji kutoka katika wawekezaji mbalimbali ili waweze kufaniikiwa.
Awakumbusha wajibu wa kusoma kwa bidii, kuachana na starehe ili kuongeza ufaulu na kufika katika kilelele cha ndoto zao.
Itakuwa na taarifa muhimu za sera na kanuni zinazosimamia matumizi ya taarifa za siri, matangazo na watumiaji wa mtandao huo.
Washauriwa kukubali kuumia kwa muda mfupi ili waweze kufanikiwa katika ujasiriamali kwenye teknolojia mbalimbali.
Hatua hiyo itafikiwa baada ya Serikali kukamilisha mchakato wa uwekezaji katika zao hilo ikiwemo kujenga viwanda vya kuchakata pamba hapa nchini.
Matumizi hayo yanachagiza ukuaji wa huduma na biashara mtandaoni kwa wajasiriamali nchini hasa katika kutangaza au kutoa huduma zao ili kuweza kuwafikia wateja wengi.
Utalii huo utahusisha fukwe kutoka Bagamoyo hadi Tanga na Ziwa Victoria katika eneo la Chato ili kuisaidia Serikali kupata watalii milioni nane ifikapo 2025.
Imeongeza watumiaji wa mtandao wake hadi kufikia asilimia mbili Desemba 2018 kutoka asilimia moja iliyodumu kwa miaka nane iliyopita
Wadau waiomba Serikali kurudi mezani tena kufanya mazungumzo na wamiliki wa chaneli kuongoa pengo la kutokupata taarifa.
Ndani ya mwaka mmoja watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu wameongezeka kwa takriban milioni 1.5.
Ni miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018.
Baadhi ya vyuo vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kutokukidhi vigezo vya utoaji wa elimu bora.
Infographics hii imeboreshwa leo Januari 26, 2019
Orodhesha mapato na matumizi kabla ya kuanza kutumia pesa.
Karibia nusu ya watahiniwa wake katika matokeo ya mwaka 2018 wamepata daraja la kwanza la alama saba.
Wamesema vitendo hivyo siyo ishara nzuri kwa maendeleo ya Taifa kwasababu vinaibua changamoto za weledi katika soko la ajira.
Mikoa hiyo ni pamoja na Kagera, KIlimanjaro, Mwanza, Shinyanga, Kigoma haikotoka 10 bora tangu 2016 hadi 2018.
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao umetolewa kuhuhu minara hiyo kusababisha udhaifu huo mwilini.