Wanachokiwaza wanaume juu ya mitindo ya nywele za wanawake
Baadhi wamesema wanawake waachwe wafanye wanachokitaka kuhusu nywele zao licha ya kuona kuwa ni kiashiria cha kutokujiamini.
Baadhi wamesema wanawake waachwe wafanye wanachokitaka kuhusu nywele zao licha ya kuona kuwa ni kiashiria cha kutokujiamini.
Doria, elimu na usaliti miongoni mwa wafanyabiashara uliwezesha biashara hiyo kukomeshwa kabisa katika eneo hilo lilizungukwa na Hifadhi ya Taifa ya Nyerere.
Vyakula vya aina hii zikiwemo chips na nyama za kukaanga vinavutia sana kuvila lakini vina madhara yake.
Baadhi ya dawa za kulainisha nywele zinakuwa na kemikali ambazo siyo rafiki kwa mwili wa binadamu.
Licha ya kuwa April alikuwa na kila kitu cha kumfikisha kwenye ndoto zake, yaani jitihada, nguvu, bidii na kila kitu, alikosa maadili na nidhamu na hapo ndipo njiapanda ilipoanzia.
Kurejea kwa huduma za meli hizo, zilizokarabatiwa kwa Sh27 bilioni, zitapunguza maumivu kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa baada ya tabu ya takriban miaka sita.
Kutofuata masharti kwa kina ya kutunza nywele asilia kumewafanya wengi kushindwa na kurejea kwenye nywele za dawa, ambazo baadhi ya wataalamu wa afya wanashauri kuwa siyo nzuri kiafya.
Wazo la mabinti hao liliyapiga vikumbo mawazo 604 yaliyowasilishwa kwa ajili ya mashindano hayo na shule mbalimbali nchini na kuyashinda mawazo 123 ambayo yalipenya chujio la kuingia mashindanoni.
“Niliweka kila kitu. Kila dawa ninayomudu nimetumia lakini nikikutolea hili wigi, utashangaa kuona “tunywele” “nilitonato,”
Nywele asilia umekuwa ndiyo mtindo mpya kwa wanawake kwa sasa. Baadhi ya saluni kutengeneza nywele kwa dawa zimeanza kukosa wateja.
Mfumuko huo wa bei umepanda hadi asilimia 3.3 mwaka ulioishia Julai 2020 kutoka asilimia 3.2 mwaka ulioishia Juni mwaka huu
Badala ya kunywa soda au juisi pale unaposikia kiu, unashauriwa kunywa maji mengi kukata kiu chako.
Siku hazigandi. Maisha hayamsubiri mtu. Nimeshinda hofu na mashaka ya kuwa pekee yangu. Nimekuwa mpya na mwenye matumaini tele.
Kundi la watoto wanne wanaanza safari kumtafuta mama na baba yao ambaye wanaamini “ametekwa na maninja”.
Unaweza kuwekwa katika bustani ya nyumbani kama pambo na kuzalisha asali ya nyuki wasio na madhara kwa binadamu.
Ubakaji ni matukio ambayo hayawezi kuzuiwa na doria za polisi mitaani pekee kwa kuwa sehemu kubwa ya hufanyika katika mazingira ya kificho kama majumbani, mashambani na hata mashuleni.
Jumla ya wagonjwa wa saratani 48,000 wamepokelewa ndani ya miaka 10 katika hospitali ya rufaa ya Bugando.
Gharama ya simu hiyo inatosha kulipia familia tatu bima ya afya ya juu kwa mwaka mzima.
Wastani wa makosa 21 ya ubakaji yaliripotiwa kwa siku Tanzania mwaka 2019. Hizi si takwimu tu bali ni masaibu yenye maumivu kwa watoto, dada, shangazi au mama zetu.
Dark mode ni mfumo ambao unabadilisha muonekano wa WhatsApp na kuiwekea weusi ili uweze kutumia app hiyo kwa amani unapokuwa gizani au unapohitaji kutunza chaji ya simu yako.