Kwa nini uzime simu unapokuwa kituo cha mafuta?
Kuzima injini ya gari na kutokutumia simu wakati unajaza mafuta kwenye gari ni njia mojawapo ya kuepuka madhara ya kulipuka kwa matanki ya mafuta.
Kuzima injini ya gari na kutokutumia simu wakati unajaza mafuta kwenye gari ni njia mojawapo ya kuepuka madhara ya kulipuka kwa matanki ya mafuta.
Unatakiwa kufahamu kuwa kila chaguo lako lina matokeo tofauti ikiwemo uwezo wa kudumu na kukidhi mahitaji yako.
Ni muhimu kuhakikisha unanunua gari zima ambalo halitokusumbua na kukuingizia gharama ambazo haujajiandaa nazo.
Wakati baadhi ya wamiliki wa magari wakidhani gari imeharibika au vituo vya kuweka mafuta vinawaibia, saa zingine ni tabia zao ndio sababu ya matumizi ya mafuta kuwa makubwa.
Mtu mmoja anaweza kuokoa kiasi cha Sh300,000 kwa shauri moja na kuwa wananchi wanatakiwa kutumia zaidi mahakama hizo zinazotembea kwa kuwa zina huduma zote.
pale unapoona changamoto yoyote katika utendaji kazi wa jiko lako lagesi, unashauriwa kuita fundi ili afanye matengenezo.
Aliyeubuni amesema mlima huo utawakumbusha viongozi na dunia kwa ujumla uharibifu wamazingira unaotokana na taka za kielektroniki.
Aeleza kuwa BoT yapaswa kujiandaa ili siku zikiingia Tanzania mamlaka zisishtukizwe.
Serikali yapendekeza kila laini kulipiwa Sh10 hadi Sh200 kila siku kulingana na uwezo wa mtumiaji kuongeza salio.
Teknolojia hiyo inatarajiwa kuondoa changamoto za kimazingira zainazosababishwa na shhughuli za binadamu.
Ni zilizozingatia uwiano wa kamera, uwezo wa kumbukumbu na wa betri.
Wengi kwa sasa wanaona sayansi ni kama fursa hivyo wanachangamkia masomo hayo.
Kwa mujibu wa TCRA, hadi kufikia mwaka 2020, ving’amuzi vinavyofanya kazi ambavyo vinatumiwa na Watanzania vimefikia milioni 2.8 ambapo zaidi ya nusu wanatumia king’amuzi cha Startimes.
Wamesema ni huduma nzuri hasa kwa watu wanaoishi mbali na maduka ya watoa huduma.
Google imeongeza kipenegele kingine katika mtandao wake wa kutafuta vitu mtandaoni ambao unawezesha mtumiaji kuweka neno la siri ambalo halitaruhusu mtu mwingine kuona historia ya vitu ulivyoangalia mtandaoni.
Kampuni inayotoa huduma ya intaneti nchini Tanzania ya Raha imezindua huduma ya ‘Azure Stack’ ilnayoongeza kiwango usalama mtandaoni.
Ni pamoja na kuondoa tamaduni zinazokwamisha ubunifu kwa wasichana na wasichana wenyewe kuamka.
Wachambuzi wa masuala ya teknolojia wamesema ongezeko hilo ni ishara muhimu kwa Watanzania kufaidika na fursa mbalimbali za mtandaoni ikiwemo biashara na elimu.
Idadi ya watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi inazidi kupaa kwa kasi nchini Tanzania baada ya kufikia milioni 32.7 mwezi Machi mwaka huu.
Katika kuhakikisha kuwa tasnia ya habari inakuwa endelevu na kuchangia katika maendeleo ya jamii, wadau wa tasnia hiyo wameshauri mambo mbalimbali ya kufanyia kazi ikiwemo kuboresha uzalishaji wa habari.