Kutana na babu wa miaka 80 ambaye toka alipopanda maua yake ameya mwagilia mara moja tu na bado lipo
Leo nawaletea kisa cha huyu mzee wa miaka 80 anayejulikana kama David latimer ambaye jumpili ya pasaka ya mwaka 1960 aliamua kupanda mau huko nchi kwao ,huku kwetu ni aghalabu sana kukuta mtu katika kipindi hicho akifanya kazi .sijajua miaka 1960.
Jumapili hiyo ya pasaka ,Latimier alipanda au hilo katika chupa ya glasi ambayo ndani yake aliweka mbolea kidgo na maji kisha akaifunga na kuiweka katika kona ambayo au hilo linaweza fikiwa na jua kishaphotosynthesis ikatokea
Miaka 10 baadaye mwaka 1972 alilifungua tena au hilo ili kuongeza maji kidogo,ikiwa ni mara ya kwanza kufungua toka alipolipanda kwa mara ya kwanza,mwaka 1972 mpaka leo mzee huyo hajawai kufungua tena chupa hiyo ambayo alipanda au lake ndani leo ikiwa takribani miaka 45 toka kufunguliwa kwake mara ya mwisho.
Kwa wengi wetu hi ni kama miujiza hivi tunayoiona kwa wachugaji wakifanya kwa waumi wao maana na jua kuna wakinamama wengi huko majumbai kwetu ambao wanatamani na wanapenda mau lakini mau yao hayaduma kabisa toka yalipopandwa swali kubwa la kujiuliza David latimer amewezaje ua lake kukaamiaka yote 57 mpaka sasa.
Lakini kwa wataalamu wa mambo ya bailojia kwao inaweza iswe miujiza maana au hilo linapata mazingira makubwa na yakutosha ya kukua.Bakteria ambao wapo kwenye mbolea pia hewa ya oxgjeni inayotolewa na mmea huo inatengeneza hewa ya cabondaosaid ambayo ni muhimu katika ukuaji wa mme.
Baada ya karibu miongo mine sasa bado au hilo ambalo lipo kwenye glasi kubwa ya kio mfano wa chungu unaishi ukisaidiwa photosynthesis katika ukuaji wake.
.